Kamati ya Lugumi imepotelea wapi?

Kisu Cha Ngariba

JF-Expert Member
Jun 21, 2016
22,135
48,821
Naomba kujuzwa,ile kamati ya bunge inayoshughulikia swala la lugumi imeishia wapi?
Je, kazi waliopewa wamemaliza?
Je, ripoti ya uchunguzi wameiwasilisha bungeni?
Je, Bunge limetangaza au limechukua hatua zipi kuhusu ilo swala?

Natumaini nitapata majibu ya maswali yangu.
 
5.jpg
 
Miongoni mwa madudu sita ni kwamba Kamati haijaiona mkataba wa Lugumi na Jeshi la Polisi. "Nitawalinda wastaafu ili waishi kwa amani". Ndg zangu issue ya Lugumi inagusa familia ya Msoga inayotakiwa kupumzika kwa amani. Tusikomalie jambo lisilowezekana kama kusaka miguu ya nyoka. Saidi Mwema na Msoga wanaoleana. Saidi Lugumi ni mkwe wa Mwema...changanya na yako.
 
umemaliza kila kitu mkuu
 
Very short but xtremely clear
 
Na Bungeni amna upinzani tutegemee wabunge wa ccm kuipiga danadana.
 
Mahakama ya mafisadi ipo kwa ajili ya wanyonge,mapapa yatapeta tu!
 
Naomba kujuzwa,ile kamati ya bunge inayoshughulikia swala la lugumi imeishia wapi?
Je, kazi waliopewa wamemaliza?
Je, ripoti ya uchunguzi wameiwasilisha bungeni?
Je, Bunge limetangaza au limechukua hatua zipi kuhusu ilo swala?

Natumaini nitapata majibu ya maswali yangu.
Njoo msoga
 
Back
Top Bottom