Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,011
- 9,879
Tozo za miamala
Msemaji Mkuu wa serikali Gerson Msigwa amelizungumzia suala la tozo ya miamala ya simu ambalo kimekuwa kilio cha wananchi cha muda mrefu, kwamba majibu yatatolewa Agosti 31, 2021.
Alikiri jambo hilo kulalamikiwa na watu wengi, ambapo alisema kinachokwamisha ni sababu za kisheria
“Tozo za miamala zilianzishwa kwa mujibu wa sheria hivyo huwezi kukurupuka kusema kitu bila kufuata sheria, lakini Rais alilitolea maelezo na tayari kamati iliundwa na Waziri Mkuu hivyo Agosti 31, 2021 itakuja na majibu,” alisema Msigwa.
Mwananchi