Kamati ya Kanuni za Kudumu za Bunge | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kamati ya Kanuni za Kudumu za Bunge

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by bulunga, Jun 18, 2011.

 1. b

  bulunga JF-Expert Member

  #1
  Jun 18, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 290
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Kwa wataalamu wa Sheria na maswala ya bunge na , ningependa kujua kamati hii ina powers zipi, pia muundo wake ukoje, je kama ikithibitika kuwa Spika anakwenda kinyume na utaratibu ni hatua gani zinaweza kuchukuliwa dhidi yake, je sio kuwa ni mambo yale yale muundo wake unafuata propotionality ya idadi ya wabunge ambao wengi wanatoka chama tawala, naomba kuelimishwa
   
 2. M

  Masauni JF-Expert Member

  #2
  Jun 18, 2011
  Joined: Aug 15, 2010
  Messages: 378
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Vitu viko wazi lakini kamati hiyo haitafanya kitu chochote.
   
 3. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #3
  Jun 18, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Maswali magumu hayoo....na yana mantiki lakini mmh
   
 4. C

  Che-lee JF-Expert Member

  #4
  Jun 18, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 319
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi ni nani mkuu wa mhimili huu wa bunge? Je ni spika au kamati ya kanuni za kudumu za bunge?
   
 5. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #5
  Jun 18, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Baada ya MAGWANDA kuona sasa pepoz power yao haina hoja , ndio maana wameamua kufuata kanuni. Kwani muda wote wao kitu kikitokea bungeni ni maandamano, sasa mbona hili hawajaitisha maandamano ? au wamegundua maandamano hayako eefective?. Kwa kifupi MAGWANDA yamelamba chaka, kamati hii asilimia 80 ni wabunge wa chama tawala
   
 6. E

  ESAM JF-Expert Member

  #6
  Jun 18, 2011
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 962
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Fikiria kidogo ndugu kanuni za bunge ziko wazi, maandamano ya nini, kabla hujaandika angalau uliza wenye hekima wakusaidie. Hata kama asilimia 80 ni wabunge wa chama tawala, pale kinachotembea ni kanuni na si itikadi. Labda useme wanaweza kumalizana ndani kwa ndani bila kufanya jambo hili kuwa public
   
 7. k

  kibenya JF-Expert Member

  #7
  Jun 18, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 384
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 45
  ulitaka waache bunge wakaandamane?maandamano yapo palepale kila baada ya mkutano wa bunge kuisha waulize vilaza ccm kuwa maandamano yako effective au vp watakupa jibu
   
 8. m

  mzee wa njaa JF-Expert Member

  #8
  Jun 18, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 1,368
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kuna mabwege wengi humu cjui magamba ni mabwana zao..
   
 9. M

  Mindi JF-Expert Member

  #9
  Jun 18, 2011
  Joined: Apr 5, 2008
  Messages: 1,393
  Likes Received: 945
  Trophy Points: 280
  Maandamano ni haki ya kikatiba ya kuonesha hisia za mtu au kikundi. Bado kuna watanzania, ukiwemo wewe, wana fikra potofu kuhusu haki za raia kuelezea mawazo yao. hii inaonesha mafanikio ya serikali ya ccm kuwaaminisha watu kwamba KUANDAMANA KWA KUIPINGA SERIKALI ni kuchochea vurugu. mind you, miaka nenda rudi tumekuwa tukiandamana kupongeza hili na lile, hiyo ruksa. kupinga NO! sasa si udikteta huo?

  Pia CHADEMA ni chama cha siasa, na kinafanya siasa nje na ndani ya bunge. kwa kujua wingi wao katika bunge, kama ulivyosema pia, ccm na serikali yake vinapenda sana watanzania wenye uchungu na nchi yao na wanaweza kuthubutu kuihoji na kuiadabisha serikali, wafuate 'taratibu' ambazo zimeandaliwa kuwafunga mdomo. waongee bungeni, wakiwa na tatizo waende mahakamani! lakini chama makini cha siasa kinatambua kwamba kwa mujibu wa katiba, wananchi ndio mamlaka kuu. kwa hiyo they reserve the right to appeal to the masses. na watu wanaitikia kwa kufanya maandamano makubwa!!! wanaonadamana ni watanzania, sio CHADEMA. CHADEMA ni waandaaji tu. kama maelfu yote yale wanaoandamana ni CHADEMA, basi usishangae wengi wanajiuliza kulikoni uchaguzi wa 2010!

  CCM pia wanaandamana, lakini angalia: maandamano ya CCM ni ya CCM tu, ndio maana wanavaa uniform za kijani wooote. lakini yanaoandaliwa na CHADEMA, ni watanzania wote, ndio maana wanakuja wao wenyewe, hakuna FUSO za kuwabeba na kuwarudisha, hakuna bahasha, hakuna fulana wala kofia za kugawa kama peremende.

  vilevile, the fact kwamba watu wengi wanazungumzia maandamano haya, wabunge wengi, na watu kama wewe, wanaweweseka sana na maandamano haya, ni indication kwamba message sent! Aluta continua!

  Mwisho, mashtaka haya ya spika yanamweka katika historia ya kushitakiwa, na hivyo yana-tarnish image yake kama spika. anaweza asijali, kwa kutojua, lakini hata kama CCM wako wengi kule, the fact kwamba anafikia hatua hiyo, ni mgogoro tayari. na hoja zinazompeleka huko ni hoja nzito, ambazo hata wana CCM makini wanajua. zuri zaidi, wananchi wanaelewa vizuri kinachofanywa na CHADEMA.
   
 10. F

  FRANK MICHAEL Senior Member

  #10
  Jun 18, 2011
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 150
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  mbayu mbayu mkubwa acha ujuha
   
 11. F

  FRANK MICHAEL Senior Member

  #11
  Jun 18, 2011
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 150
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  asante mkuu kwa darasa zuri mjinga ni ngumu kukuelewa but brove
   
 12. M

  Mapujds JF-Expert Member

  #12
  Jun 18, 2011
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 1,291
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Kamati haita tatua chochote ila itasaidia kuwaonesha weakness za bunge zinazosabishwa na huyo bibi asiye na mjukuu.
   
 13. N

  Ninaweza JF-Expert Member

  #13
  Jun 18, 2011
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 7,180
  Likes Received: 1,182
  Trophy Points: 280
  Na huyu anajiita mtanzania tena mzalendo!.
   
 14. b

  bulunga JF-Expert Member

  #14
  Jun 18, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 290
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  naona hakuna mtu mwenye jibu, kila mtu anasema anayofikiria, labda swali liwe hivi, NINI KAZI ZA KAMATI YA KANUNI ZA BUNGE,je imeundwa na wanasheria au ndo kila mtu yuko huko, je hii kamati inawajibika kwa nani, na kwa lipi
   
Loading...