Kamati ya Bunge yabaini Mwendokasi wanajiendesha kwa hasara

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
9,183
18,439
Kauli ya kamati ya bunge imeniacha hoi na mshangao sana kwamba eti kampuni ya mwendokasi inajiendesha kwa hasara.

Hili nalipinga kwa nguvu zote, kwa jinsi wanavyojaza abiria na wateja wake ni wengi hakuna muda unakuta mwendokasi haijajaa sasa hizo kauli za kwamba wanajiendesha kwa hasara zinatoka wapi?
 
Hasara ni kwa kutokuwa Wabunifu...

Ongezeni ,Tengeni Ma-bus kadhaa kwa huduma ya VVIP zenye Kadi Maalumu ...Mbezi Kivukoni 3000/=
Ubungo - Posta 2000/=
iwe ni Level Seat- Express
Tutayaacha Magari Nyumbani
Now days tuna route ya Kimara - Kibaha pia
Hata sasa niko kwenye mwendokasi naelekea huko
 
Wakulaumiwa ni Magufuli na roho mbaya yake.. kulikuwa na mfumo mzuri sana wa kulipia kuhusu tiketi yeye na roho korosho yake akawatoa wale Maximalipo na ukawa mwanzo wa wizi wa tiketi. Pesa zinaibwa sana sijui kwanini waliua ule mfumo wa tiketi. Majaliwa kapiga mdomo kawa kimya. Bashungwa ndio mtu wa ajabu sana katembelea pale kakuta changamoto zake akampa muda meneja afanye utaratibu zimalizike. Kuna wizi sana.
 
Mwendokasi hii hii aliyoiendesha Magu kwa mikono yake?
 
Watu wanaiba hela hapo hakuna hasara hata iweje...kampuni haina ushindani ni wao tuu wanapataje hasara wakati bus za mikoani na ushindani mkubwa na hasara sio kubwa kama za huko kila kukicha...napinga hakuna hasara ni wizi tuu maana mali ni ya umma hakuna anaejali..
 
H
Hapo kwenye tickets ndo kuna upotevu wa pesa
 
Mkuu zile tickets zinavyouzwa kwa sasa lazima watu wapige pesa
 
Hasara ni kwa kutokuwa Wabunifu...

Ongezeni ,Tengeni Ma-bus kadhaa kwa huduma ya VVIP zenye Kadi Maalumu ...Mbezi Kivukoni 3000/=
Ubungo - Posta 2000/=
iwe ni Level Seat- Express
Tutayaacha Magari Nyumbani
Kwa mfumo wa yale mabasi kupata level seat na liondoke itakuwa ni hasara
By default yanategemea sana abiria wa kusimama as number za seats ni chache
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…