Kamati ya bunge ya katiba na sheria yakutana na jaji mkuu

kirerenya

JF-Expert Member
Aug 27, 2013
1,696
2,253
01%2B%2528a%2529..JPG


Mohamed Chande Othman, Jaji Mkuu wa Tanzania akiteta jambo na Mwenyekiti wa Kamati ya Katiba na Sheria, (B) Mohamed Chande Othman akiwa na Makamu wake pindi walitembelea ofisini kwa Mhe. Jaji Mkuu mapema leo. Lengo likiwa ni kujitambulisha na kupata maelezo mafupi juu ya Mahakama ya Tanzania.

01%2B%2528b%2529.JPG


Baadhi ya Wajumbe wa Kamati ya Katiba na Sheria wakiwa katika mazungumzo na Mhe. Jaji Mkuu mapema leo walipotembelea ofisini kwake kwa ajili ya kujtambulisha na kupata maelezo mafupi ‘brief notes’ juu ya Mahakama ya Tanzania.

03.JPG


Jaji Mkuu wa Tanzania, Mohamed Chande Othman akimkaribisha mmoja wa wajumbe wa Kamati ya Ulinzi na Usalama walipotembelea ofisini kwake mapema leo.
02.JPG


Baadhi ya wajumbe wa Kamati wakimsikiliza Jaji Mkuu (hayupo pichani) mapema leo walipozuru ofisini kwake. Pamoja na mambo mengi Mhe. Jaji Mkuu amewaeleza wajumbe hao kuwa Mahakama ya Tanzania ipo katika maboresho mbalimbali ikiwa ni pamoja na kumaliza kesi za muda mrefu Mahakamani.

Chanzo: Michuzi

 
Back
Top Bottom