Kamati Kuu

Lisilokuwepo machoni na moyoni halipo na hapo ni ubabaishaji tuu wa masilai yao na siyo ya wananchi
 
hahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa,hizo sura ni hatari... Tyta shingo zinauma fanya mautundu plz
 
Last edited by a moderator:
Huyu mchoraji na kama kuna na wengeni ambao ni wachoraji wote huwa si wapuuzi ni watu wa maana sana na wanatufundisha au wana tupa elimu ya namna gani ya hii inchi yetu inavyo pelekwa kama ngombe na bakora yake na wazidi kuchora mi huwa na upendo nazo sana michoroo hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…