Dada Regia, mimi binafsi nina wasiwasi na common sense na reasoning capacity ya Magale Shibuda, inaonekana kasi yetu haiwezi ni bora apumzishwe hata kama ni kupoteza kiti cha ubunge na jimbo la maswa kwa ujumla.
WEWE Regia mTema umechanganyikiwa, Igunga utaisikia hewani na usizani kelelel za chura zinamzuia mbuzi kunywa maji.Igunga itabaki kuwa jimbo la ccm na kama kutoka kwa rostam kumewafanya mzani jimbo liko wazi mmechelewa jimbo linawenyewe.
Asante Regia kwa taarifa. Nje ya mada hii sisi wananchi tumesononeshwa sana na kuumia mno na kauli ya mbunge mwenzenu Mh Shibuda. Yaani nilitamani kupiga simu yangu kwenye screen wakati huyu mbunge akichangia mambo ambayo yanaonekana wazi wazi kuwa si mwenzetu kabisa. si mimi tu ila wananchi wengi wapenda haki na usawa wameumia sana.
Nakuomba Regia fikisha suala hili mbele ya kamati kuu, sisi tunapendekeza mtu huyu apumzishwe maana si mwenzetu. ni vyema tukatibu ndonda leo badala ya kulifuga cause linaweza lisitibike tena badala yake kama lipo mguuni basi lazima ukatwe kuokoa maisha. sisi hatutaki tufike huko.
Fikisha ujumbe wa hao wapiganaji-- tunawaombea mafanikio. najua wananchi wakakuwa barabarani kila mnapita cause mmebeba sura ya Tanzania mpya - Tanzania yenye Tumaini Jipya. Mungu awababariki sana tupo pamoja nanyi kwenye sara na dua zetu. Peoples Poweeeer.
Waungane halafu wakipata jimbo wanatekeleza sera za chama kipi?Bila upinzani kuungana,
jimbo la Igunga ni ndoto kulipata,
la sivyo ni kutaka kujifurahisha.
&Wait a minute..... kwa hiyo lile jina la mwalimu tulopewa limetoka wapi ikiwa hii kama ti haijafika hata Igunga ndio kwanza wako safarini kuelekea huko?
Huyo mwana JF aliyetuletea habari za kura za maoni anaweza kutueleza ni kina nani walioendesha kura hizo maanake isijekuwa tumelishwa myamafu ili watuchekke baadeye kamati itakapochagua jina jingine.. Mchezo huu umefanyika sana ili kuleta vurugu ndani ya vyama hasa nikifuatia chaguzi zilizopita wa vijana CCM na CDM.
hebu kaeni hukohuko Iginga na mumfukuze yule kinyesi Shibuda
poleni kwa safari ndefu!!!!tupo pamoja nanyi!!!mungu awalinde daima!!!!!!wakuu.tuemshafika igunga na kupokelewa na mamia ya wakazi wa hapa nakufanya mkutano mdogo wa hadhara wa ukaribisho.akwa kweli hali inatia moyo.naona kuna watu wanabeza kuwa chadema haiwezi kushinda wakilinganisha na uchaguzi wa biharamulo na busanda.kuna wengine wanadai chadema kuwa ya tatu.ndugu zangu kila chama lazima kiwe namatumani ya kushinda vinginevyo basi tusingeweza kushiriki kwenye uchaguzi huu,chadema inajiamini na imeshafanya utafiti wa awali na inaonekana kuelekea kushinda.duniani kote huwa kuna opinion polls. Time will tell.btw. Am so happy kuwa igunga leo,kumechangamka.
Kwanini CUF wasiungane na CCM kumsimamisha mgombea wao mmoja? au wewe hujui kuwa CUF na CCM lao ni moja?Kwa mujibu wa habari za uhakika ni kwamba chadema itashika nafasi ya
tatu katika uchaguzi huo,....na kama chadema isipo simamisha mgombea
basi cuf itashinda lakini kwa kua vyama vya upinzani vinaenda kugawana
nusu ya nyama huko igunga,basi mzee kafumu ataingia mjengoni kwa mbwembwe sana.
Kwakuwa kamanda Mwita Mwikwabe pamoja na bavicha wamekuwa igunga kwa muda wa kutosha basi nina imani kwamba ground work imefanyika vizuri na kampeni zikianza basi ni mwendo mdundo hadi mjengoni.Wakuu.Tuemshafika Igunga na kupokelewa na mamia ya wakazi wa hapa nakufanya mkutano mdogo wa hadhara wa ukaribisho. Kwa kweli hali inatia moyo.
Naona kuna watu wanabeza kuwa CHADEMA haiwezi kushinda wakilinganisha na uchaguzi wa Biharamulo na Busanda. Kuna wengine wanadai CHADEMA kuwa ya tatu.
Ndugu zangu kila chama lazima kiwe namatumani ya kushinda vinginevyo basi tusingeweza kushiriki kwenye uchaguzi huu,CHADEMA inajiamini na imeshafanya utafiti wa awali na inaonekana kuelekea kushinda.Duniani kote huwa kuna opinion polls. Time will tell.
BTW. Am so happy kuwa Igunga leo, kumechangamka.