Regia Mtema
R I P
- Nov 21, 2009
- 2,970
- 873
Kamati Kuu ya CHADEMA inatajiwa kufanya kikao chake kesho katika jimbo la Igunga.Kikao hicho ni maalum kwaajili ya kupitisha jina la mgombea Ubunge katika uchaguzi mdogo unaotarajiwa kuanza tarehe 7 Sept 2011. Vile vile kikao hicho kinatrajiwa kupitisha mkakati na bajeti ya uchaguzi huo katika kuhakikisha kuwa jimbo hili linachukuliwa na CHADEMA.Dalili zote za awali zinaonesha kuwa jimbo hili kuchukuliwa na CHADEMA.Kutoka njiani Manyoni tukiwa tunaelekea Igunga.Nawasilisha.

Kiutaratibu mgombea akishapita kwenye kura za maoni lazima jina lake lijadiliwe na kamati kuu ya chama.Kilichomo kwenye hiyo thread ni matokeo ya kura za maoni.Kamati kuu ndo mamlaka ya mwisho kutaja jina la mgombea.Kuna thread humu inasema mgombea wa cdm ameshachaguliwa. Nadhani kinachoenda kufanyika Igunga ni taratibu tu za kichama ili kumuidhinisha! Kikubwa ninachowaomba cc ni kuweka mkakati wa nguvu na kujipanga vema ili kuwakabili ccm na cuf maana dalili zinaonesha kunaweza kukatokea kugawana kura na mambo yakawa kama Tarime! Mnatakiwa kujipanga kwelikweli!
I wish U all the best!