hector
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 217
- 721
Atakatwa tu!
Na akatwe tu
Atakatwa tu!
Ambae ni Lowasa.
Firauni mwenyewe shenzytype
Vyovyote vile Makongoro apite kwanza kwingine tutajua!Rais akiwa stable hata ukichagua waziri mkuu goigoi atafanya kazi tu!
Wafanye manyago yao ila jina tunalotaka ni Lowassa tu fullstop.
Watu wa Muhimbili na hospitali zote kubwa wake tayari kupokea maelfu ya wagonjwa wa moyo
Wasikate mtu tu! Watuletee wote tuwapime kwenye sanduku la kura
Kamati kuu(CC) labda wanakutana kwa ajili ya kupanga ratiba za Kampeni ya kukamilisha ratiba na wapinzani tu na kuangalia wajumbe watakaoshiriki kubariki jina la ENL, maana jina tayari lilishajulikana na ENL alishamaliza kampeni ndani ya Chama.
Watangaza nia wengine walidangany'wa kwamba wakati wa kutafuta wadhamini wasiwe na mikusanyiko ya watu wengi, kumbe ENL yeye alipewa maelekezo tofauti kwamba amalize kabisa na kampeni, ndiyo maana kigezo chake cha kuwa watu na wengi (Mafuriko yasiyozuiliwa kwa mkono) wakati wa kutafuta wadhamini ndiyo Kamati Kuu (CC) itatumia kama kigezo cha ENL kukubalika ndani na nje ya chama.
Watia nia wengine walie tuu, maana waliingia kwenye mtego, wakati Mwenyekiti wa Chama alishaelekeza kigezo kikuu ni kukubalika ndani na nje ya chama, maelezo ambayo ENL aliyafanyia kazi kwa asilimia 100, na ndicho kigezo pekee kitakachotumika. Kuna wagombea walipuuza kigezo cha Mwenyekiti, wakafuata maelekezo ya NAPE ambaye hakuna anayemsikiliza kwenye kikao cha CC.
POLENI WATIA NIA na HONGERENI kwa kuchangia chama, KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
Wafanye manyago yao ila jina tunalotaka ni Lowassa tu fullstop.