Kamati kuu ya ccm-cc itakayotupa rais 2015

nrongalema

Member
Joined
Apr 11, 2011
Posts
48
Reaction score
5
hii ndio kamati kuu ya ccm-CC itakayochuja majina wa wagombea Urais 2015 na kubakiza watatu(3) watakaoenda NEC. VIONGOZI: 1. Wilson Mukama,2. John Chiligati, 3.Vuai Ali Vuai, 4.January Makamba, 5.Lameck Mwigulu, 6.Asha Abdallah Juma,
WAJUMBE: 7.Zakia Meghji, 8.Steven Wassira, 9.Buhie, 10.Abdallah Kigoda, 11.Willium Lukuvi, 12. Abdulrahman Kinana, 13.Hussein Mwinyi,14.Omary Mzee, 15. Mohamed Seif Khatibu, 16.Samia Suluhu, 17.Maua Daftari, 18.Mbarawa, 19.Shamsi Nahodha..bila kusahau marais wastaafu..!
 
Ndugu yangu CC ya CCM itakayofanya mchujo wa wagombea urais,itapatikana mwaka kesho ktk uchaguzi wao wa ndani ya chama.
 
Itakayotupa rais au Mgombea urais kupitia CCM?
 
hii ndio kamati kuu ya ccm-CC itakayochuja majina wa wagombea Urais 2015 na kubakiza watatu(3) watakaoenda NEC. VIONGOZI: 1. Wilson Mukama,2. John Chiligati, 3.Vuai Ali Vuai, 4.January Makamba, 5.Lameck Mwigulu, 6.Asha Abdallah Juma,
WAJUMBE: 7.Zakia Meghji, 8.Steven Wassira, 9.Buhie, 10.Abdallah Kigoda, 11.Willium Lukuvi, 12. Abdulrahman Kinana, 13.Hussein Mwinyi,14.Omary Mzee, 15. Mohamed Seif Khatibu, 16.Samia Suluhu, 17.Maua Daftari, 18.Mbarawa, 19.Shamsi Nahodha..bila kusahau marais wastaafu..!
Namba 16 hapo
 
Back
Top Bottom