Kicoba cha mzee Mtei kinakaa kujadili madeni na marejesho.

Mkuu sikuzote mtu mjinga asiyejitambua hujadiri ukabila na udini bila kujadiri uwezo wa mtu,huyo nae usishangae ukisikia kwamba amewahi kuhudhuria chuo mana siamini kama kuna msomi mpuuzi hivyo anayehoji upuuzi na kiukweli umemjibu sahihi.Mie nimzaliwa wa Kigoma na kiukweli Chama chetu cha Kigoma kimejaa sura hizo mbili
Tuwekee majina ya wajumbe wa Kamati Kuu tuwajue,,isije ikawa wote wanatoka Kilimanjaro

Hivi mtatoa tamko gani jipya zaidi ya lile lililotolewa na mwenye saccos .Mbowe?!
Ajenda ni kujadili maendeleo mkoa wa Kilimanjaro
Tumia akili ya kiutu uzima jenga hoja Ki siasa acha kuingilia mambo ya kidini kwani waisilam wamehusika vipi katika hoja yako acha upuuzi mkuu
Hivi mtatoa tamko gani jipya zaidi ya lile lililotolewa na mwenye saccos .Mbowe?!
Wachaga wanajadili saccos yao
Mkuu sikuzote mtu mjinga asiyejitambua hujadiri ukabila na udini bila kujadiri uwezo wa mtu,huyo nae usishangae ukisikia kwamba amewahi kuhudhuria chuo mana siamini kama kuna msomi mpuuzi hivyo anayehoji upuuzi na kiukweli umemjibu sahihi.Mie nimzaliwa wa Kigoma na kiukweli Chama chetu cha Kigoma kimejaa sura hizo mbili
Na wewe acha uzandiki kwani uongo ile mahakama ya kadhi ipo wapilioahidiwa na viongozi wa ccm hichi ndicho chimbuko la udini na ukabila najitenga na unafiki.