Mapambano Yetu
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 1,133
- 2,128
ndiyo nani?Watamjadili Khalid Kagenzi?
ACT imeshakufa MKUU,nguvu za coca cola hazidumu.Wanajadili namna ya kupambana na ACT-WAZALENDO, wala Chadema hawana jipya tena.
ndiyo nani?
mkuu umeishia darasa la ngapi ?Tunasubiri taharifa ya ruthuku sio blabla za Mbowe na wafuasi wake.
maneno kuntu .Tumeanza na Mungu, Tupo na Mungu na tutamaliza na Mungu
Tunasubiri taharifa ya ruthuku sio blabla za Mbowe na wafuasi wake.
mkuu umeishia darasa la ngapi ?
Kazi kweli kweli huko ccm.Angalau nawewe uonekane ume comment au?