Kamati kuu CHADEMA kufunika Arusha Alhamisi

Well kama inawajali kwanini iende kuonana nao leo na si kabla ya kuwafukuza.
Hivi kwani umeambiwa wanaenda kuonana na hao madiwani wenye njaa? Hao ndo habari yao kwisha. Hawatakiwi tena!
 
Magamba bwana eti tumechoka na mabomu na Nape mbona kila cku anaitisha mandamano kila kukicha mikoani tena muda wa kazi mbona hamsemi?
 
Mallah,Bayo na wenzenu wale vijana waliofunga ofisi wapo?Kama wapo waandaeni tafuta na wa CCM nanyi mjipange kuitisha maandamano siku hiyo hiyo.Hii ni mbinu itakayofanya Chombo Cha Dola kuzuia haya maandamano kutokana na sababu za ''kiienteligensia'' nanyi mtasitisha ya kwenu.

Hizi ni mbinu za kivita ambazo ni maarufu kwa jina la ''double dealing style'' tofauti na hapa jamaa watawavua nguo chezeni.
 
100% am supporting. Well done makamanda
 
HTML:

Kwenye hiyo taarifa sijaona neno Maandamano, labda naathiriwa na makengeza yangu.
 
BAADHI YA MADIWANI WA JIJINI ARUSHA WALIOANZA KUOTA MAGAMBA KAMA YALE YA CCM DAWA NI KUMWAGWA KWA TU: CHADEMA HONGERENI SAAAAAAAAAAAANAAA KATIKA HILI!!!!!!!!!

CHADEMA, tukongeni nyoyo zaidi kwa kuonyesha MSIMAMO THABITI katika mambo ya msingi na kuendelea kutoa mtiririko wa maamuzi yanayozingatia zaidi MASLAHI YETU SISI WAPIGA KURA.

Kwa kweli kuliko kitendo cha MADIWANI WACHACHE MJINI Arusha kuingia mikataba yenye masilahi binafsi na yenye mafanikio ya muda mfupi na CCM bila kujali mabadiliko mapana zaidi ambao nyinyi wenyewe wana-Arusha mliasisi nchini, wananchi tunasema vita mbeeele na kwamba kiongozi yeyote wa ngazi yoyote CHADEMA atakayebainika KUANZA KUOTA MAGAMBA (Baadhi ya madiwani wa Arusha walionyesha nao ishara hizo) kama yale ya Wana-CCM basi ni sharti amwagwe nje kwa haraka sana na dira yetu kuu na safari ya ukombozi kuendelea.

Matunda matamu zaidi ya mabadiliko ya kweli bila ufisadi wa ki-CCM yako karibu sana leo kuliko hapo jana. Machaliii, mpaka kielewekeeeeeeeee na hao Wana-Magamba!!!!!!!!!!
 
nawatakia kila la kheri ndugu wa ar! tupo wote
 
Wewe endelea kuwaponza wenzako kwa kuwapa mbinu za kizamani, tulikuambia mwanzo watafukuzwa tu ije mvua lije jua ukasema eti hakuna wa kuwafukuza wakifukuzwa watakwenda mahakamani haya sasa wasaidie kufungua kesi tuone......

Wacheki walivyokuwa wanadanganyana........namsikitikia sana huyo mama wa vitu maalum hana hata mpigakura mmoja sijui atakwenda kuongea na wa kata gani masikini ni mkumbo tu umemponza sasa anajuta amepoteza hata kile kidogo alichomegewa.

Hawana akili kila siku mikutano,maandamano watu tunataka kufanyakazi
Hivi wewe una akili kushinda hawa makamanda wetu? Arusha Tupoooooooooooo sipati picha siku kumwona kamanda wa anga mbowe, makamanda wa bungeni lissu, lema na msigwa ukimalizia na makamanda wa ardhinio slaa, zitto...wakuu siku hiyo ikiwezekana hilo tukio tuliripoti laivu hata kwa kupigiana simu...wakuu nitajitahidi kurekodi hata vipande vya video muhimu...Karibuni sana arusha wakubwa zangu.......
 
IN CDM WE BELIEVE, IN CDM WE TRUST.... faizafoxxy utakuja huku uje utone masela wa unga ltd tuonavyoipenda CDM? jamani members wa jf Arusha tuungane hata kuhamasisha wananchi watoke kwa wingi...tukawaanike magamba...
 
Wakazi wa Arusha msituangushe....

Mjitokeze kwa wingi ktk huo mkutano wenu wa kijasiri baada CC CDM kufanya maamuzi magumu! hiyo ajenda yaikuwa jambo jepesi hasa ktk kipindi hiki cha kusimamia dhamira ya kweli, ni muhimu sana mkawa pamoja na uongozi.

tusihofu wabunge kwenda arusha ktk mkutano, ruksa watakuwa wamepata. mama mkubwa wa mjengoni alishawahi kunena, kama hautasaini asbh basi posho haitakuwepo! na Mikutano ni sehemu ya siasa safi!

Mjitokeze waakazi wote wa Arusha ktk mkutano huo cku ya alhamisi, ni muhimu kuwapa support uongozi wa CC CDM.

hakutakuwepo na mabomu au fujo za aina yeyote, mliweza kufanya maandamano wakati wa kuwaaga na kuwazika watu Jan hapo Arusha bila matatizo yeyote na wanausalama wa CCM.

Tuna wategemea Amani itakuwepo!

tupo pamoja ktk mkutano huo.
 
hata kama wangekuja wote 48 bado kwa watu wa arusha hawana jipya la kuwaambia,nyimbo zao ni zile zile, hii ni sawaq na jamaa kaoa mwanao alafu anampiga makofi kila siku alafu anakuja kujieleza ukwenu eti unajua baba mkwe mwanao mchokozi huyo mzazi unazani atakuelewa? Chadema sasa mmejimaliza hakuna jipya zaid ya kufuta kila anachotaka dr slaa
 
IN CDM WE BELIEVE, IN CDM WE TRUST.... faizafoxxy utakuja huku uje utone masela wa unga ltd tuonavyoipenda CDM? jamani members wa jf Arusha tuungane hata kuhamasisha wananchi watoke kwa wingi...tukawaanike magamba...
FaidaFoxy hawezi kutokea huko kawaponza wenzake kwa kuwadanganya waendelee kugoma sasa kawakimbia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…