mtafuta-maisha
JF-Expert Member
- Nov 5, 2016
- 1,982
- 2,934
32 inches
Used iko poa hatari
Inasoma external
Ina port ya hdmi
Ina port ya flash
Bei 450,000 tunazungumza
Iko Tegeta wazo dsm
Imetumika miezi kama nane warranty nimekwisha poteza katika harakati za kuhamabado ina warrant yake?
Kama miez nane hiviUsed muda gani?
Nyingi lakini nado mkuiChukua 300