sasa nimeanza kuamini kuwa mkapa alikuwa sahihi kuwaita baadhi ya watu WAPUMBAVU. unasema ni tetesi halafu unaanza kuporomosha lawama na habari yako ya kiudaku. namimi nakuita wewe ni mpumbavu.
kuna tetesi kuwa polisi wanapita mitaani wakikuta watu wanajadili siasa wanawakamata et wanatishia usalama wa nchi!!!!
hivi ni kwel nchi hiii tumefikia huko????
tumefikia hatua ya kuwanyima raia kuelimishana wao kwa wao????
kuwanyima raia uhuru wa kuongea na kutoa maoni yao??
kwakwel serikal ya CCM mmechoka na kifupi kwa mbinuu hii mnawapa upinzani credit bila kujua......kwa uonevu huu hatutakubal na aman ya tanzania ikipotea wa kulaumiwa n jeshi la polis na serikal ya ccm...hiv polis hamufikiriii nje ya box????
hii hiii serikal ya ccm imewafanya maboya mnaishi nyumba mbovuuuuu....vibanda umiza...mnafanya kaz mazingira magumu lakin bado mnawang'ang'ania na kuwaona ccm n wa maana!!!!!
jiongezen jaman....fikirien mnayoyafanya yatagharim vzaz vngi sana pamoja na watt wenu...what will happen ikiwa UKAWA WATASHINDA?????????