Kamata kamata ya Polisi mitaa ya Segerea

jisanja

JF-Expert Member
Nov 17, 2013
1,077
2,000
Kuna tetesi kuwa polisi wanapita mitaani wakikuta watu wanajadili siasa wanawakamata et wanatishia usalama wa nchi!!!!
hivi ni kwel nchi hiii tumefikia huko?

Tumefikia hatua ya kuwanyima raia kuelimishana wao kwa wao?

Kuwanyima raia uhuru wa kuongea na kutoa maoni yao?

Kwakwel serikal ya CCM mmechoka na kifupi kwa mbinuu hii mnawapa upinzani credit bila kujua......kwa uonevu huu hatutakubal na aman ya tanzania ikipotea wa kulaumiwa n jeshi la polis na serikal ya CCM, hivi polis hamufikiriii nje ya box?

Hii hiii serikal ya CCM imewafanya maboya mnaishi nyumba mbovu,vibanda umiza...mnafanya kaz mazingira magumu lakin bado mnawang'ang'ania na kuwaona ccm n wa maana!

Jiongezen jamani, fikirieni mnayoyafanya yatagharim vizazi vingi sana pamoja na watoto wenu,what will happen ikiwa UKAWA WATASHINDA?
 

cabhatica

JF-Expert Member
Sep 30, 2010
1,077
1,225
Waache waendelee, bila mambo kama hayo ushahidi wa kupeleka ICC unakuwa hautoshelezi....
 

BekaNurdin

JF-Expert Member
Dec 21, 2012
2,168
2,000
Sisiem,kama mngejua ndio mnzidi kuharibu mambo mngekaa chini upya mshauriane nini cha kufanya.

Mnawatumia polisi,ila mjue utafika wakati hao polisi watatumwa kuwakamata nyinyi.

CCM wamepaniki ndiyo maana wako hivyo!

Sisi wananchi tusio na vyama tunawashangaa!
 

Old Member (Retired)

JF-Expert Member
Sep 29, 2012
3,407
0
LOWASSA alishafanya mengi sana hivyo sisi watanzania malofa tunamjua, LOWASSA hana kazi ya kupiga kampeni kazi ya LOWASSA hivi sasa ni kupunga mkono tu then sisi tunampa kura bila jasho
 

SIMBA45

JF-Expert Member
Oct 1, 2012
574
0
Kuna tetesi nimepata kutoka ngaramtoni arusha baada ccm kukosa watu na kuzomewa askari walirudi kupita mitaani na kukamata watu na kumjerui raia mmoja aitwae james(mmiliki wa vidaladala vya ngaramtoni arusha kwa jina la small axe au tetere) kwa kumvunja mguu. Dalili za utawala kuanguka ndio kama hizi.
 

SIMBA45

JF-Expert Member
Oct 1, 2012
574
0
CCM wamepaniki ndiyo maana wako hivyo!

Sisi wananchi tusio na vyama tunawashangaa!

kweli mkuu tena waziri WA utawala uliopo madarakani mh. makofuli mwenyewe anashangaa hospital kukosa,manesi na madokta nao wanashanga, na wananchi nao wanashangaa eti waziri ndio anajua Leo shida za watanzania wakat mwanzo alisema matatizo ya watanzania anayajua. Huu Ni utapeli mchana kweupee.
 

Bennie fuko

New Member
Jul 29, 2015
3
0
sasa hawa askali tunaishi nao mitaani iwapo na sisi tukiamua kuwafanyia fujo kwenye makazi yao patakalika? tunaomba jeshi letu la polisi tunalipenda sana kifanye kazi sio kukamata watu bila sababu yoyote tusije tukachoka tukajibu mapigo hapata kalika
 

ibra87

R I P
Jul 22, 2015
5,617
2,000
Kujadili Tetesi na Kuhukumu ni Sawa na Kujisaidia katikati Ya Kariakoo Tena mchana kweupe... Haya Mwisho wake ni 1 sept
.
 

sirikambi

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
287
0
kuna tetesi kuwa polisi wanapita mitaani wakikuta watu wanajadili siasa wanawakamata et wanatishia usalama wa nchi!!!!
Hivi ni kwel nchi hiii tumefikia huko????
Tumefikia hatua ya kuwanyima raia kuelimishana wao kwa wao????
Kuwanyima raia uhuru wa kuongea na kutoa maoni yao??
Kwakwel serikal ya ccm mmechoka na kifupi kwa mbinuu hii mnawapa upinzani credit bila kujua......kwa uonevu huu hatutakubal na aman ya tanzania ikipotea wa kulaumiwa n jeshi la polis na serikal ya ccm...hiv polis hamufikiriii nje ya box????
Hii hiii serikal ya ccm imewafanya maboya mnaishi nyumba mbovuuuuu....vibanda umiza...mnafanya kaz mazingira magumu lakin bado mnawang'ang'ania na kuwaona ccm n wa maana!!!!!
Jiongezen jaman....fikirien mnayoyafanya yatagharim vzaz vngi sana pamoja na watt wenu...what will happen ikiwa ukawa watashinda?????????
unajua mahakimu na majaji wangekuwa kama wewe nadhani watu wooooote wangekuwa gerezani.hata kama ushabiki wa kisiasa unakusumbua ni bora angalau utumie akili yako ya akiba kufikiri kabla hujaandika.wewe umesikia tu,sasa kwa nini uifanye taarifa yako kama ni kweli? Hearsay never be used as evidence but only in a specific time when one may say i heared him talking or saying this and this.hivo tulia,wote twajua dar ujambazi upo mwingi,mbwa mwitu cjui noah nyeusi nk.so ukitaka watu wakuamini kqa taarifa zako ni vema uweke na source yake pia let people decide whether your news is a true story or not.tujiepushe na taarifa za upotoshaji hasa wakati huu tete hata kama baadhi mnalipwa kwa propoganda but let our country remain united and let the tanzania police force do its job.God bless TANZANIA
 

kinauche

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
7,682
2,000
kuna tetesi kuwa polisi wanapita mitaani wakikuta watu wanajadili siasa wanawakamata et wanatishia usalama wa nchi!!!!
hivi ni kwel nchi hiii tumefikia huko????
tumefikia hatua ya kuwanyima raia kuelimishana wao kwa wao????
kuwanyima raia uhuru wa kuongea na kutoa maoni yao??
kwakwel serikal ya CCM mmechoka na kifupi kwa mbinuu hii mnawapa upinzani credit bila kujua......kwa uonevu huu hatutakubal na aman ya tanzania ikipotea wa kulaumiwa n jeshi la polis na serikal ya ccm...hiv polis hamufikiriii nje ya box????
hii hiii serikal ya ccm imewafanya maboya mnaishi nyumba mbovuuuuu....vibanda umiza...mnafanya kaz mazingira magumu lakin bado mnawang'ang'ania na kuwaona ccm n wa maana!!!!!
jiongezen jaman....fikirien mnayoyafanya yatagharim vzaz vngi sana pamoja na watt wenu...what will happen ikiwa UKAWA WATASHINDA?????????

Hawa kujitambua kwao ni mpaka wapelekwe The Hague. Kinyume chake wataendelea kuwanyanyasa wapumbavu na malofa.
 

ILAN RAMON

JF-Expert Member
Sep 10, 2013
7,180
2,000
police hao ndio wa kwanza kwenda the hague wanakamata wanafunzi19 kwa kuhatarisha Amani duh maaajabu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom