Kamari za kichina

Kamari za kichina

vicent moshi

Member
Joined
Apr 6, 2015
Posts
92
Reaction score
55
Hizi michezo za kamari za kichina zimewekwa kila kona za miji na zinadumaza vijana wengi kufanya kazi...........nashauri zipigwe marufuku kama viroba ili kunusuru taifa........
 
Hakika uko sahihi mkuu na kuna shaka kama kodi stahiki inalipwa kwa usahihi
 
Usinikumbushe hizo ishu walahi ntaliaaa !!!yaani ni janga la taifa zaidi ya viroba!serikali ingepitia upya michezo hii hata kama inalipa kodi,ni hatari ya danger!
 
Hii sasa imekua aina nyingene ya mikeka. vijana wanashinda na kukesha kwenye makamari tu, akitoka mikeka betting anaingia kwenye hizi mashine, kazi zinalala tu wengina wanasahau hata kuoga
 
Usinikumbushe hizo ishu walahi ntaliaaa !!!yaani ni janga la taifa zaidi ya viroba!serikali ingepitia upya michezo hii hata kama inalipa kodi,ni hatari ya danger!
Leon Slim mikeka vip
 
Kama ajira hamna...unataka wafanyaje kupata fedha..wacha wacheze kamari kuliko kuwa vibaka
 
Jiongeze mkuu, yaani huoni kabisa watapewa kazi gani?
Si ndo ujibu sasa.
hao wasomi wenyewe hawana kazi.
Serikali ardhi imeng'ang'ania.
Hata hizo kazi za nguvu siku hizi kuzipata tabu.
Watafanya kazi ganii?
 
Back
Top Bottom