mbalazi og
Member
- Oct 28, 2019
- 17
- 15
Poleni namajukumu ya Pasaka! Sambamba na hilo nichukue fursa hii kuwakumbusha ndugu zangu kuchukua tahadhali juu ya virusi hatari vya COVID19.
Wakuu jana katika pitapita zangu nilienda kwenye baa moja baada ya kupata mbili tatu nikajikuta nashawishika kucheza liko dude moja hivi humo wanatumbukiza coin za 200.
Bhasi nami nikajumuika kucheza nikipewa utaalamu na yuko manzi mmja ambae alionekana akiwa mtaalamu sana kulicheza. Aisee! Ndugu msomaji, nililiwa 20k kama nimesimama.
Wakuu tupeane mbinu namna ya kulikabili ama kama kuna yeyote anaweza kucheza ile kitu.
Sent using Jamii Forums mobile app