loose Nut
JF-Expert Member
- Dec 6, 2025
- 2,438
- 5,559
Mkuu please 🙏🏿 mkuu rudisha avatar picha tuliyozoea umevaa suit nyeusi na tai.Ukitoka kwa Mhindi, njoo kwa Mchina ana vimashine vyake vile vya kuweka 200. Anawagonga sana vijana hizo sarafu sio poa. 😁
Mchina hataki hela nyingi, mia mbili tuu.