machiaveli
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 1,927
- 4,072
Habari zenu wakuu!!?
Binafsi Mimi kama Mimi hii michezo ya kubahatisha sijawahi jaribu tangu mtoto! Zamani kipindi Niko nyokaa chuga huku nilikuwaga napewa tu shilingi 50 nikachenchi,nikiwaletea makachala chenchi wananipa Lile li shilingi Tano kubwa nanua ngubiti
Wao wanaendelea na kamari zao,ngumi zilikua zinapigwa kinyama,Kuna chalii pale mianzi alipigwa kisu ya shingo damu ziliruka kama unachinja mbuzi!
Ilikua ndio mara ya kwanza kuona mtu anakufa mpaka kidole Cha mwisho I was only 9
Tuachane na hayo!!
Iko hivi siku hizi kumeshamiri kamari Kila Kona mpaka serikali inajichukulia Kodi
Yaani machalii yamesoma yana nguvu nikukaa kuanzia asubuhi mpaka jioni kubahatisha yaani mpaka wazee!!
Mi kwa Sasa Niko hapa soko la kilombero wamama wanauza nyanya wakipata mia mbili mbili wanadumbukiza kwenye zile mashine za kichina!
Mi sielewi