Kamanda wa Uganda

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
295161_486792304681618_1798406665_n.jpg
 
Huyu Kamanda aliwagundua mapema watu weupe hawana rafiki wa kudumu wala adui wa kudumu, ndio maana akawapa intro....baada ya hapo hapakuwa na utapeli.
 
Huyu hakuwa Mzima! si kwa kuwapigisha magoti wazungu lkn kwa mambo aliyokuwa akiyafanya! ndo maana tukamtimua
 
Na 10 ni pale alipokula nyama za binaadamu ndipo nilijua huyu alikua ni shetani!
2_WUb0n6a4zi.jpg
 
Idd Amin had a Tertiary Stage of Syphilis which led him to a disease known as General Paralysis of Insane (GPI) Characterized with abnormal social behavior e.g cruelty.:shetani:
 
hahahaaaa,huyu jamaa kuna baadhi ya mambo alinifurahisha,hasa nikiwaona wazungu wanavyotusumbua, yeye aliwa discipline.Ningefurahi leo hii angekuwepo,ili nione wamarekani wangemfanya kitu gani.
 
Back
Top Bottom