Kamanda wa Polisi (M) Iringa akiri juu ya utata wa abiria aliyeuawa na Polisi Mafinga: Inadaiwa risasi ilipigwa upande wa dirisha la abiria.

Angesimama yote hayo yangetokea? Ujinga kitu kibaya sana.

sipo hapa kumfurahisha mtu. Over.
Kweli alikuwa na kosa kubwa lakini natamani yeye ndiye angekufa. Japokuwa wengine watapinga kuua kwa namna yoyote lakini angalao kwa dereva kwa kuwa alikaidi coz alijua tayari kosa lake.
 
Wameua polisi tena kwa risasi wakati unajua ukipa risasi nini kitatokea, ishu itafunikwa funikwa yataisha,kaua mwalimu kwa ba
hati mbaya tena katoto kenyewe maskini kalikuwa kahanga ka mateso ya nyumbani kwao,na ripoti ya daktari inathibitisha,ila kila mtu anajifanya ana hasira na kutukana walimu wote na kazi wamefukuzwa huku raia wakishangilia.....very sad....chuki chuki chuki kwa walimu na
ndio maana bila shaka vizazi vya watanzania vinakua na ujinga mwingi laana ya kudharau walimu.
Report ipi ya yule dr hawala ake na mwl muuwaji ama report ya dr alotumwa na ummy mwl... Fafanua wewe una report ipi ya mwl muuwaji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabla ya yote tujue kwanza huyo dereva kwa nini alikimbiza gari badala ya kusismama asikilize amri ya kusimamishwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Plate number zipo.... Kwanini ukimbizane unaenda tra unasoma unajua mmiliki... Na anatandikwa faini kubwa... Labda kama alikua na madawa ya kulevya ama majambazi kapakia.. Sasa gari ipo tupu

Wapunguze kuvuta bange

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa, Juma Bwire amekiri kupata taarifa za awali za tukio la kuuawa na Polisi kwa abiria aliyekuwa katika Gari lililokaidi Amri ya Polisi ya kusimama. Kamanda Bwire ameeleza kufuatilia tukio hilo ili apate taarifa kamili. Alisema kuwa: "Ni kweli nimepata taarifa hizo lakini nazifuatilia ili nijue kwa undani kwa sababu tukio lenyewe lina utata."
Shuhuda wa ajali hiyo ameeleza kuwa, dereva wa Gari aina ya Canter aliyekuwa akiendesha kwa zaidi ya spidi 50 kutokea Iringa, alisimamishwa na Polisi lakini alikaidi Amri ya kusimama ndipo askari hao wa usalama barabarani wakaanza kulifukuza. Alieleza kuwa, Polisi walipokuwa wakilifukuza Gari hilo walipiga risasi kwenye kioo cha ubavuni upande aliokaa abiria na inadaiwa ilimjeruhi kichwani na kufariki dunia. Hata hivyo, Polisi walipifika maeneo ya Kinyanambo C walipiga risasi katika gurudumu la gari na kumlazimu dereva kusimama.
Baada ya marehemu na dereva kupakiwa kwenye gari la Polisi, dereva alikuwa akiwalalamikia askari polisi: kwa nini mmemuua ndugu yangu, kwa nini mmemuua ndugu yangu?
Wajuvi wa mambo ya ajali, hebu angalieni Picha ya gari na eneo lililoharibiwa kioo halafu ufikirie kuwa, risasi ilipigwa wakati wanakimbizana. Akili za kuambiwa?

View attachment 853993
Kwa Polisi wetu wasivyo na woga katika maelezo utasikia wanamfungulia jalada Marehemu kwa kosa la........stay tune
 
Hili genge la wauaji wala sio walinzi wa usalama wa raia na mali zao.
 
Waendelee tuu kuua mbona na ujambazi umepungua; yawezekana wanataarifa kamili kuwa ni majambazi waue tu tumechokaa kuishi na majambazi kwanini walikaidi kusimama sasa kama ni raia wema...UA TU...Ukiwapeleka mahakamani wanakushinda hali wakiwa ni wahalifu bora hivo hivo tu.
 
Polisi wa Tanzania hawana wito wa kufanya kazi, wengi wao wanamatatizo ya maisha hivyo akili zao haziko sawa, na polisi vijana ndo kabisa hawafai akili zao zinawaza dili tu unakuta yupo kazini lakini anawaza mikeka ya betting

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuuu wakileta hizo habari pande za huku Kapalamsenga tunawaendea Karema wakojoe samaki tuchanga kichwa juu lazima waimbe Raia wapo Raia wapo. Kuna yule alimkamata mzee wa Mila akajidai kuchukua gari lake kwa nguvu aendeshe aliiishia Kuingia mto Misunkumilo na kuvunja miguu yote miwili mkuuu huku heshima haswaa.
 
Ukionyesha dharau ya kuto jali professional ya wenzio lazima kuna jambo lita kugharimu R.i.p abiria!!! ila dereva itakuwa hafamu kwamba kuto tii amri ya askari ni kosa kubwa sana tena lina athali kubwa kwa usalama.

Cc: Kangi
Trafiki wa Iringa hawatumii silaha ya gobole wa bunduki.
 
Mkuuu wakileta hizo habari pande za huku Kapalamsenga tunawaendea Karema wakojoe samaki tuchanga kichwa juu lazima waimbe Raia wapo Raia wapo. Kuna yule alimkamata mzee wa Mila akajidai kuchukua gari lake kwa nguvu aendeshe aliiishia Kuingia mto Misunkumilo na kuvunja miguu yote miwili mkuuu huku heshima haswaa.
Hahaha nimecheka sana hadi Kijana wangu kanishangaa hapa. Long time sana maeneo hayo, Ikola-Karema nawamisi wale samaki wanaitwa Kuhe, na sangara wa hilo ziwa hawana radha nzuri. Usafiri wa kule enzi hizo ukikosa basi la11 alfajiri Mpanda huendi labda uvizie malori ya mizigo sasa KM zaidi ya 120 unapigwa vumbi wenye Lori hafu koboko kibao huko
 
Huyo abiria hakumkaba polisi kweli? Kama sivyo basi risasi itakuwa ilitokea upande wa pili walipokuwa kina Msigwa. Kwanza watu walikuwa wengi hivyo ni vigumu kutambua bunduki iliyotumika. Tufute kesi maana ushahidi hautoshelezi.
Kweli tukio lina utata mzee.
 
Kuna kitu hakiko sawa humo Polisi, sasa hivi karbia kila Mkoa kuna Maiti zimesuswa na ndugu kwa kuuuliwa na Polis. Mbeya maiti ina siku 50, Temeke siku zaidi ya 20, Tabora vilevile, Tarime maiti mbili, Kinondoni kama kawa, Hiii ya Iringa ndiyo kali kabisaaaa hiyo silaha yenye Rivas sijui ni aina gani?
ICBM hiyo Mkuu ,kama ile iliyomuua Akwilina

Tanzania wame advance sana kwenye maswala ya silaha kina Kalashnikov wanasubiri teh teh

Asalalee!
 
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa, Juma Bwire amekiri kupata taarifa za awali za tukio la kuuawa na Polisi kwa abiria aliyekuwa katika Gari lililokaidi Amri ya Polisi ya kusimama. Kamanda Bwire ameeleza kufuatilia tukio hilo ili apate taarifa kamili. Alisema kuwa: "Ni kweli nimepata taarifa hizo lakini nazifuatilia ili nijue kwa undani kwa sababu tukio lenyewe lina utata."

Shuhuda wa ajali hiyo ameeleza kuwa, dereva wa Gari aina ya Canter aliyekuwa akiendesha kwa zaidi ya spidi 50 kutokea Iringa, alisimamishwa na Polisi lakini alikaidi Amri ya kusimama ndipo askari hao wa usalama barabarani wakaanza kulifukuza. Alieleza kuwa, Polisi walipokuwa wakilifukuza Gari hilo walipiga risasi kwenye kioo cha ubavuni upande aliokaa abiria na inadaiwa ilimjeruhi kichwani na kufariki dunia.

Hata hivyo, Polisi walipifika maeneo ya Kinyanambo C walipiga risasi katika gurudumu la gari na kumlazimu dereva kusimama.
Baada ya marehemu na dereva kupakiwa kwenye gari la Polisi, dereva alikuwa akiwalalamikia askari polisi: kwa nini mmemuua ndugu yangu, kwa nini mmemuua ndugu yangu?

Wajuvi wa mambo ya ajali, hebu angalieni Picha ya gari na eneo lililoharibiwa kioo halafu ufikirie kuwa, risasi ilipigwa wakati wanakimbizana. Akili za kuambiwa?

View attachment 853993
Huyo mpigaji alikuwa upande wa kushoto mwa gari pembeni mwa mlango wa abiria na alikuwa kabebwa kwenye chombo cha usafiri.
Alipofika, usawa wa mlango wa abiria alimlenga dereva kwa dhamira ya kumshoot, sasa kwa kuwa gari ilikuwa katika mwendo, wakati anakamua triger, target yake ikawa imempita milimeter2, akatwangwa abiria na kuvunja kioo kwa risasi zaidi ya moja zikatokea ndani upande wa kushoto na kupaa kwenda kulia juu.

Dereva bado ana Mungu wake na siku zake zilikuwa hazijafika.

Kutokana na tabia ya kishenzi ya kulindana, wameshaanza utetezi tayari kwamba kifo kina utata!
Kama kuna utata, basi wamtetee huyo muuaji wao kwa kuleta mtu mwingine waliyemshuhudia akifyatua risasi kwa muda huo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom