Mh. MP, thread aina hii siyo saizi yako, waachie hao vijana wanaohangaikia buku seven ndo washughulike nazo. Mtu km wewe unapowashabikia halafu baadae ushahidi ukaletwa na thread kuonekana ni ya uzushi, itakushushia heshima ya uheshimiwa wako bure. Wewe ni mtu wa kujadili hoja, siyo vioja au udaku.