Anatumia nini hapo aisee shoka au panga?Wanabodi, masikio yaelekezeni Dodoma, Tundu Lissu anaua CCM kabisa....!
Online nawezaje kumsikiliza?
Mzee Tupatupa
ulimi tu mkuu,hoja bin hoja.Anatumia nini hapo aisee shoka au panga?
Mzee Tupatupa naona siku zako huko kwenye ofisi za MABWEPANDE zinakaribia.
Wakikusikia rafiki cha moto.
Anayachana magamba muda huu!
Wanabodi, masikio yaelekezeni Dodoma, Tundu Lissu anaua CCM kabisa....!
Keshapona ule ugonjwa wa akili unaomsumbua?
Tupeni namba za radio wanayorusha
Tundu Lissu anaumwa utanzania kama hujui ww mburulalaaaaaaaaaaaaa
tune masafa ya kati usikilize tbc taifa