kababu
JF-Expert Member
- Mar 14, 2013
- 1,834
- 911
tupeni namba za radio wanayorusha
itv inarusha live
tupeni namba za radio wanayorusha
bora umemwambia maana ungesikia aende mirembe hawakawii hawa magamba
Mkuu umenikumbusha Enzi hizo nikiwa mtoto, hapo kwenye BOLD, hu ugonjwa unaoitwa leo UKIMWI miaka ya 80 ulikua unakwenda kwa jina hilo, baadae tukawa tunauiitwa kwa kingereza yaani AIDS na sasa kwa Kiswahili yaani UKIMWI; tumetoka mbali sana, yaani JULIANA=AIDS=UKIMWIUMEANDIKA kama JULIANA
kuptia mtandao vipi hakuna station yoyote inayorusha bunge hewani ?
Kama unaijua tasavali tupe link mkuu
Zamani walikuwa arusha mambo radio siku hizi sijui vipi tena
Mkuu umenikumbusha Enzi hizo nikiwa mtoto, hapo kwenye BOLD, hu ugonjwa unaoitwa leo UKIMWI miaka ya 80 ulikua unakwenda kwa jina hilo, baadae tukawa tunauiitwa kwa kingereza yaani AIDS na sasa kwa Kiswahili yaani UKIMWI; tumetoka mbali sana, yaani JULIANA=AIDS=UKIMWI