Jembe wapi wakati alikuwa anapelekeshwa na mzee wa fafaaaa hadi unamuone huruma!!? Mtu una weredi ktk sheria unakubali mtu hata basic ya sheria hajui anakufanya anavyotaka?! Hadi mzee mzima unaonekana hufai!! Mzee wa misimamo alikuwa AFRED TIBAIGANA!! Kwani alisimamia kile anachokiamini kuwa kiko sahihi, kwa kazi yake sio hawa unakuwa kama tv remote iko kwa mzee wa fafaa faaa!! Ila kama angeamua kusimamia taaluma yake ni kiongozi mzuri ila huyu mzeee wa fafaaaa ndio anamharibia CV. Ni afadhari kuliko yule mzee wa jicho kodo!! Mzee wa misifaaa!!! AliyestaffNisiandike mengi sana, lakini wenzangu katika kazi za ulinzi na usalama tukubaliane tu huyu jamaa ni jembe sana. Najaribu tu kujiuliza kijana yule alivyoleta dharau kwa kamanda aliyefanya mengi kwa taifa hili kama ingekua mimi au wewe saa hizi....haki ya mtume...JPM una jembe mkuu wangu...
Kuna sehemu imeshuhudia uhalifu wa wazi wazi kama Dar es Salaam kwa miezi hii miwili mitatu? Labda uwe hujui kwamba forgery ni uhalifu kwa kuwa umelishwa limbwataNi raha sana vijana wa CHADEMA kusalimu amri
DSM hakuna uhalifu wala nini kimyaaa!!!!!
Kaka tunaojua kazi ya kamanda katika maisha yake tunatokwa na machozi tunapoona dharau alizofanyiwa na kijana yule.
Kuna sehemu imeshuhudia uhalifu wa wazi wazi kama Dar es Salaam kwa miezi hii miwili mitatu? Labda uwe hujui kwamba forgery ni uhalifu kwa kuwa umelishwa limbwata
Jembe wapi wakati alikuwa anapelekeshwa na mzee wa fafaaaa hadi unamuone huruma!!? Mtu una weredi ktk sheria unakubali mtu hata basic ya sheria hajui anakufanya anavyotaka?! Hadi mzee mzima unaonekana hufai!! Mzee wa misimamo alikuwa AFRED TIBAIGANA!! Kwani alisimamia kile anachokiamini kuwa kiko sahihi, kwa kazi yake sio hawa unakuwa kama tv remote iko kwa mzee wa fafaa faaa!! Ila kama angeamua kusimamia taaluma yake ni kiongozi mzuri ila huyu mzeee wa fafaaaa ndio anamharibia CV. Ni afadhari kuliko yule mzee wa jicho kodo!! Mzee wa misifaaa!!! Aliyestaff
E bwana acheni utani wazee
Anafanya kazi katika mazingira magumu sana. Hafanyi kazi za kipolisi anaingiliwa kiutendaji aachwe huru atumie ujuzi wakeNisiandike mengi sana, lakini wenzangu katika kazi za ulinzi na usalama tukubaliane tu huyu jamaa ni jembe sana. Najaribu tu kujiuliza kijana yule alivyoleta dharau kwa kamanda aliyefanya mengi kwa taifa hili kama ingekua mimi au wewe saa hizi....haki ya mtume...JPM una jembe mkuu wangu...
Kweli jamaa sio mbaya ki vile ila bashite ndio anataka kumpeleka anavyotaka yeye wakati kwenye mambo ya usalama bashite hajui kitu!! Kazi yoyote ukianza kuendeshwa na mtu ambaye hana ujuzi nayo mwisho wa siku unaonekana hufai!! Unakumbuka sakata la shisha? Mala ni marufuku watu kupumzika guest house mchana?!! Na hilo la ngada!?Sio kwa zama hizi mkuu. Hizi zama anaziweza Sirro.