masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,611
- 14,552
Tetea hoja yako vizuri bado hujaeleweka
....But till today hajatuambia who wanted to assassinate Lissu.
Kwani camera ndio ilimfuata (kwa bahatimbaya) kamanda Siro kwenye mazowezi, ama Siro ali leta camera kwenye mazowezi?View attachment 599631
Kati ya ma IGP wa miaka ya karibuni, IGP Simon Sirro ni kamanda wa maaskari.
Ukimfuatilia utendaji wake si mtu wa mchezo mchezo na yuko fiti.
Hii picha ya Nipashe leo 1/10/2017,inajieleza.
Tunashukuru wale makamanda wenye vitambi mizigo, sasa wamepotea.
Hivi pumba ni nini?Pumba tu bila ya uhakika..sirro aishi hapo kwenu?
Mpelekee my wife wako kwa wiki moja.View attachment 599631
Kati ya ma IGP wa miaka ya karibuni, IGP Simon Sirro ni kamanda wa maaskari.
Ukimfuatilia utendaji wake si mtu wa mchezo mchezo na yuko fiti.
Hii picha ya Nipashe leo 1/10/2017,inajieleza.
Tunashukuru wale makamanda wenye vitambi mizigo, sasa wamepotea.
Kwa vile we ni gwiji la kukodisha wanawake wa kwenu, ukinikodisha mamayo nitakubaliana nawe.Mpelekee my wife wako kwa wiki moja.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji2] mkuu ya kwekii?
Wewe si umemkubali siro na umekuja hadharani kwa ukiri usio na shuruti, mbona unapanda nisan nyeupe tena?Kwa vile we ni gwiji la kukodisha wanawake wa kwenu, ukinikodisha mamayo nitakubaliana nawe.
Sasa mambo ya kumleta mamayo kwenye mjadala una washwawashwa na nini?Wewe si umemkubali siro na umekuja hadharani kwa ukiri usio na shuruti, mbona unapanda nisan nyeupe tena?