meningitis
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 8,464
- 4,832
mkuu Daudi Mchambuzi mbona route yako imenchanganya?Alishawahi kunikimbiza maeneo ya naaz enzi hizo ilikua ni duka sio mgahawa. Hakunipata nilishukia na njia ya arusha school, nikatokea mto themi upande wa pili wa wa zambia nikaendelea na misele kuelekea mlima shabaha.
Alishawahi kunikimbiza maeneo ya naaz enzi hizo ilikua ni duka sio mgahawa. Hakunipata nilishukia na njia ya arusha school, nikatokea mto themi upande wa pili wa wa zambia nikaendelea na misele kuelekea mlima shabaha.
mkuu Daudi Mchambuzi mbona route yako imenchanganya?
Kufa kunoga ilitokana na nini?Alikua anaitwa kufa kunoga,ole wako ukutane nae kitaan saa za masomo utajuta.
Nimekusoma,unajua kinana ziko kichwani ndio maana akili inachelewa kucharge!Yah.......kwa chini kule kupitia Fire kuna sehemu unatokea kwa waZambia.......nadhani pia na Breweries au Emco........😜😜
Alishawahi kunikimbiza maeneo ya naaz enzi hizo ilikua ni duka sio mgahawa. Hakunipata nilishukia na njia ya arusha school, nikatokea mto themi upande wa pili wa wa zambia nikaendelea na misele kuelekea mlima shabaha.
mkuu mto themi ulikuwa noma kipindi hiko,labda uniambie wewe ulikuwa mtukutu kiasi hicho!Halafu we jamaa inaelekea ulikuwa unaoga Mto Themi wewe....
Dahh....Nimeoga sana mto Themi...
mkuu mto themi ulikuwa noma kipindi hiko,labda uniambie wewe ulikuwa mtukutu kiasi hicho!
Enzi hizo mboko ilikuwa ruksa mashuleni,ila leo mmhh!! Watoto wa siku hizi hawana cha kusimulia baadaye..Ha ha ha....Nimeoga sana...Tena tulikuwa tunatoroka class ile saa nne "mapumzikoo" tunaenda...
Dahh...Sitosahau bana...Kuna mkuda mmoja alimtonya ticha wa class kuwa tunaendaga Mto Temii kuoga....Ticha kapeleka wapambe wake wakatuandika majina..
Wacha kabisa....Kesho yake Mstarini asubuhi tukaona maticha wameshika mboko mbilimbili kila mtu....Kuhamaki mara..."Wafuatao watoke waje mbele".....Mstarini wote kimyaaa...
Tukaitwa....Mkuu mavi yalikuwa yanasukuma chu.pi....Nilitamani ardhi ipasuke nitokomee pale nilipoitwa....
Dahhh...Tukaambiwa tujipange mbele..."Kila mmoja apate nafasi....halafu shika vidole"......Wooooowi....Tulipigwa mboko ambazo sitasahau....
Halafu shida ilikuwa si mboko hapo mbele ya shule...Ishu ilikuwa ni kutaniwa hasa ule mda wa "mapumzikoo" na kutawanyika.."manyumbanii"....pale ndo ilikuwa shedaahhh!!!
Kuanzia siku ile mpaka leo wala sijui Mto "Temii" una rangi gani...
Hahaha....Kufa kunoga hadi utumbo wa ndani ......huyu jamaa ametutuma sana chupa za bia shuleni. Aliwaleta watu waliocha shule miaka ya zamani waje kumalizia shule ....nasikia kumbe jamaa na ubabe woote alikuwa bwabwa
Hivi zile chupa alikuwa anapeleka wapi........?.....kamanda bana.......