shinyangakwetu
JF-Expert Member
- Jun 25, 2015
- 2,487
- 2,395
Mtakumbuka kuwa kamanda ulitangaza taa zote za ziada za mwanga mkali ziondolewe ktk magari haraka sana,sasa Jana nimepita na ka rav4 kangu kana taa(spotlight) ambazo Zimekuja na gari toka japani,taa hizi siitumii maana wajuvi wa masuala ya magari wanasema zinatumika wakati wa ukungu,na pia kwa sasa haziwaki.sasa hawa vijana wako kamanda wamemkamata na kusema hizo ni mojawapo wa taa ulizoagiza zitolewe na wameniandikia faini elfu 30,mpaka sasa sijalipa kwani kwa uelewa wangu hizi taarifa hazihusiani na zile alizolenga kamanda mpinga.kamanda kama unapita humu au kama kuna mwenye kuweza kutoa ufafanuzi naomba na pia nashauri kabla ya kukamata na kupiga faini elimu itolewe kwa SS wenye magari na pia Askari waelimishwe ni nini hasa cha kufanya maana umekuwa kero sana.
Tangazo ulishasikia na taa haziwaki si uzitoe sasa kama amri ya Kamanda Mpinga alivyoitoa.Mtakumbuka kuwa kamanda ulitangaza taa zote za ziada za mwanga mkali ziondolewe ktk magari haraka sana,sasa Jana nimepita na ka rav4 kangu kana taa(spotlight) ambazo Zimekuja na gari toka japani,taa hizi siitumii maana wajuvi wa masuala ya magari wanasema zinatumika wakati wa ukungu,na pia kwa sasa haziwaki.sasa hawa vijana wako kamanda wamemkamata na kusema hizo ni mojawapo wa taa ulizoagiza zitolewe na wameniandikia faini elfu 30,mpaka sasa sijalipa kwani kwa uelewa wangu hizi taarifa hazihusiani na zile alizolenga kamanda mpinga.kamanda kama unapita humu au kama kuna mwenye kuweza kutoa ufafanuzi naomba na pia nashauri kabla ya kukamata na kupiga faini elimu itolewe kwa SS wenye magari na pia Askari waelimishwe ni nini hasa cha kufanya maana umekuwa kero sana.
Tangazo ulishasikia na taa haziwaki si uzitoe sasa kama amri ya Kamanda Mpinga alivyoitoa.
Ukiendesha gari nite halafu ukapigwa Nazo usoni mkiwa mnapishana ndo utajua madhara yake.
Ufafanuzi ni muhimu, nadhani hata mimi yaweza nikuta mimi pia Escudo yangu imekuja na taa kama hizo anazoongelea mleta mada na huku njombe ukungu ndio wenyewe
Ameeleza vizuri hapo juu taa zake ni za ukungu sasa wewe unadandia bila kusoma,kuna tofauti katika hizi taarifa,so alizopiga magufuli mpinga ni zile za mwanga mkali kama za kwenda mbugani kuwinda
RAV 4 na taa zake imeshushwa toka mbinguni sio "man made".RAV4 taa zake ni original siyo man made.
Mkuu sorry siyo za kuassemble, asante sana kwa kuliona hilo.RAV 4 na taa zake imeshushwa toka mbinguni sio "man made".
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Kwa kweli mkulu kawa mbunifu haswaaNimo humu.hebu ngoja nilifatilie .ila kafaini ketu kalipe tu maana tunakategemea kwenye viwanda.
Kwani hizo Original hajatengeneza Binadamu??RAV4 taa zake ni original siyo man made.
Nimeshatolea ufafanuzi soma kuanzia mwanzo mpaka mwisho.Kwani hizo Original hajatengeneza Binadamu??
Mkuu tuweke picha ya gari lako tuone hizo taa kabla ya kuhukumu.Mtakumbuka kuwa kamanda ulitangaza taa zote za ziada za mwanga mkali ziondolewe ktk magari haraka sana,sasa Jana nimepita na ka rav4 kangu kana taa(spotlight) ambazo Zimekuja na gari toka japani,taa hizi siitumii maana wajuvi wa masuala ya magari wanasema zinatumika wakati wa ukungu,na pia kwa sasa haziwaki.sasa hawa vijana wako kamanda wamemkamata na kusema hizo ni mojawapo wa taa ulizoagiza zitolewe na wameniandikia faini elfu 30,mpaka sasa sijalipa kwani kwa uelewa wangu hizi taarifa hazihusiani na zile alizolenga kamanda mpinga.kamanda kama unapita humu au kama kuna mwenye kuweza kutoa ufafanuzi naomba na pia nashauri kabla ya kukamata na kupiga faini elimu itolewe kwa SS wenye magari na pia Askari waelimishwe ni nini hasa cha kufanya maana umekuwa kero sana.
Wakati mwingine wala suo suala la uwezo mdogo, wanafanya makusudi kwasababu kwao kuwa polisi means kuwa adui wa raia.Ni muhimu tena sana maana uwezo wa hawa jamaa zetu kutafsiri ni mdogo hupenda kutumia miguvu tu