Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 56,667
- 30,586
KWAKO MH KAMANDA MPINGA KWAKWELI UNAKAZI KUBWA SANA KUSIMAMIA MAMBOYA FEDHA KWENYE FAINI NK
MNAWEZAJE KUMPA TRAFFIC ASIE NA GARI YUKO PEKEYAKE EFD MACHINE AKAKE NAYO USA ALAFU MKAENDA KUEGESHA GARI DEFENDER MOUNT MERU YENYE TRAFFIC WATANO BILA EFD?
JANA BASI MBILI SPIDER NA TAQWA ZIKITOKEA NAIROBI ZILIPITA PALE ARUSHA SAA KUMINAMOJA..NA DK HAMSINI..ACCORDING TO TO TRAFFIC ALIEKAMATA TUNATAKIWA KUPITA SAA KUMINAMBILI
BAADAYAKUOMBA SAMAHANI NK ALIESIMAMISHA KABINTI KAMOJA MH MPINGA ANAITWA FRIDA ANAMANENO MACHAFU MABAYA KUONA MWANAMKE ANAWEZA TOA MATUSI HATA NDOAYAKE N SHIDA....HUYU DADA AKASIMAMISHA GARI AKAANZA KUTOA MANENO MAKALI SANA KWA DEREVA ..BADAE AKASEMA RTO NDIE ALIEWAONA KAWAAPIGIA WATUKAMATE HANA MSAADA..KIUKWELI TUKASEMA HUYU RTO ASIELALA ANAITAJI KUPEWA SHIKAMOO
AKASEMA KUNA MTU ANAKUJA ALIPOKUJA YULE JAMAA CHA AJABU AKAOMBA LESENU ZA MADEREVA NAHUU NDIO UPUUZI TUSIOUTAKA WAKASEMA KAMA N HIVYO TUPENI BASI FAINI TUENDELEE..WAKAOMBWA EFD MASHINE AWANA SHAME
KILICHONIFANYA NAOMBA HIZO HELA ZIFWATILIWE ALIKUWEPO HUYU DADA FRIDA NA KAKA MMOJA TRAFFIC NA HUYO BWANA ALIEKUJA AMA KUTUMWA NA RTO...
WAKATI WANAOMBWA WAANDIKE YULE DADA AKAANZA KUSOGEZA WATU NAOMBA NIANGALIE NAMBA YA GARI GAFLA TRAFFIC WA KIUME AKAMWAMBIE NGOJA NIKULETEE KITABU KINGINE AKAENDA CHUKUA KWENYE DEFENDER
KAMA WOTE MKOSEHEMU MOJA VITABU VIMOJA KULIKUWA NA HAJA GANI YA TRAFFIC WA KIUME KUMWAMBIA WAKIKE NONOO USITUMIE HIKO??
YAPILII HILI ATUKULIPENDA KABISAA PAMOJA NA KUANDIKIWA FAINI WAKALIPA YULE KAKA AKAENDA KWENYE GARI AKADAI MTU WAOFISINI AJE OFISI ZA RTO NDIO APEWE LESENI
KWANINO MNAPINDISHA SHERIA HIVI KWANZA AMJAMPA MTU EFD REST YAKE BADO MNAKAMATA LESENI ZA MADREVA..WASIWASI WANGU MNARUHUSIJE MADRREVA WA LONGSAFARI KUTEMBEA BILA LESENI ZAO??JE KILE KITABU KILICHOACHWA KISIANDIKWE NACHO AKITOKI OFISINI KWENU???
MH MPINGA HILO ALIKUTISHA TUMEFIKA SEHEMU MBELE YA KOROGWE KIDOGO TUKASIMAMISHWA NA TRAFFIC...ANADAI MMEWAHI AKAONYESHWA KWELI NA KARATASI YA FAINI IPO WAKO NA DEFENDER NA HAWANA HATA EFD MACHINE AKAANZA NAOMBA LESENI WAKANBIWA ANAZO RTO ..WALIPODAI TUTAAMINIJE WAKAPIGIWA TRAFFIC ALIEONDOKA NA LESENI
BADO HAWA TRAFFIC WAKAANZA KELELE OOH SISI TUNAITAJI LESENI...KWANZA NIMPONGEZE DREVA WA TAQWA AMBAE AKUTAKA KUSUBIRI UPUUZI WA HAAWA TRAFFIC KIVIPI.....
AWA MABWANA WALIPOONA KOTE AWAPATI HELA WAKAOMBA VITABU WAKAPEWA..SAWASAWA TAQWA AKAWAULIZA MNACHOTAKA TUMEWAJIBI SHIDA IPI TENA AKAJIBU MTAKAA HATAMPAKA TUNAPOTAKA SISI SHAME KABISA DREVA AKAITA KONDA WAKAWAACHIA VITABU VYAO.....
ALIPOBAKI WA SPIDER NAE AKAWAMBIA SITUNAENDA TRAFFIC MMOJQ AKAANZA KUOMBA OOH HATA CHAI ATUPATI JAMAA AKAMWAMBIA MSHATUWEKA CHAI ITOKE WAPI KAENI NAVITABU..KWA MARAYAKWANZA NAMWONA TRAFFIC ANAMKIMBILIA KONDA KUMPA VITABU AKAMPA NA CHA TAQWA WAPEANE MBELE YA SAFARI
SWALI
KAMA MMEDHAMIRIA KUREJESHA MAPATO SERIKALINI KWANINI HIZI DEFENDER ZA NJIAN AMUWAPI EFD ?? NANI ANATAJA MAKARATASI YALE UKISOMA VITABU VYA 2010-2011
KAMANDA MPINGA HIZO HELA ZILICHUKULIWA NA YULE BWANA ALIEKUJA NAKUSEMA KATUMWA NA RTO .....LAKINI KITABU CHA FAINI ALIBAKI NACHO TRAFFIC KWENYE DEFENDER
SWALI IWEJE MPOKEAJI NA MWANDIKAJI RESIT WAWE TOFAUTI AMWONI MNATAKA KUWAAMANISHA WANANCHI KITU AMBACHO HATAKAMA AKIPO???
NAHUYU AKIPELEKA KITABUBANAJIBU HIZO RESIT PESA KACHUKUA NANI??
MH MPINGA TUWEKE EFD KOTE NJIANI KILA KONA HAYA N MAPATO YA SERIKALI NA SIO YAMTU BINAFSI TUNAAMINI UNADHAMIRA HIYO TOKAMOYONI HIVYO SI MBAYA ZILE POINT ZENU ZOTE MKAWEKA HIZO EFD MACHINE MWINGINE SHIDA SIO KULIPA UNANIPAJE MAKARATASIYA 2011 HIYO NDIO TATIZO
TUFKE WAKATI TUWABADILISHE AWABNDUGU ZETU WAJUE WAKO KWA AJILI YA SERIKALI
MALIPO YALIKUWA 60"000 TTL