Kamanda Mbowe anaunguruma now Bungeni

Kamanda Mbowe anaunguruma now Bungeni

Kipenzi Changu

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
58,054
Reaction score
134,366
Anaanza kwa kuwashukuru watanzania na wanaukawa.Anawataka CCM ijiandae kisaikojia baada ya kushindwa kuongoza.

Anaanza kuzungumzia BVR.Anazungumza changamoto zake.Anamvua nguo rais kwamba alitangaza vitambulisho vya utaifa kuwa vitatumika kupigia kura ajabu havijulikani vilifikia wapi.

Anaonesha viashiria vya JK kujiongezea mda.Anaonyesha udhaifu wa wataalam wa uandikishaji.

Tume haijasema itafanya usajili mpaka lini.Mkandarasi anadai hela yake.

Tume ilipatiwa mashine pungufu na imepunguza siku za kuandisha na watu wengine hawajajiandikisha.

Kama kuna jambo linaweza kuwasha moto nchi ni serikali kujiongozea mda.

Anarejea ushauri wa upinzani kuhusu kura ya maoni,ambapo walikejeliwa na mambo yamewashinda.
 
......anawaasa CCM wajiandae kukabidhi madaraka kwa amani, maana mwaka huu ni lazima washindwa na kuondoka IKULU, zaidi sana ameionya serikali kwa kufanya maandalizi ya mapambana kwa kuagiza magari ya vita kwa Jeshi la Polisi.
 
Crystal Clear Mbowe ndo alitakiwa kuwa PM ... Jamaa anakata nondo balaa ...
 
Anasema tume haina wataalamu wa kuandikisha wataalamu wote!
 
Anaanza kwa kuwashukuru watanzania na wanaukawa.Anawataka CCM ijiandae kisaikojia baada ya kushindwa kuongoza.Anaanza kuzungumzia BVR.Anazungumza changamoto zake.Anamvua nguo rais kwamba alitangaza vitambulisho vya utaifa kuwa vitatumika kupigia kura ajabu havijulikani vilifikia wapi.Anaonesha viashiria vya JK kujiongezea mda.Anaonyesha udhaifu wa wataalam wa uandikishaji
Duh!! kwa hicho ndicho kilichompeleka bungeni? Then atawaambia hao CCM kupinga budget? Tuna safari ndefu
 
Anasema tume haina wataalamu wa kuandikisha wataalamu wote!
Watu wanaobahatisha unaweza kuita wataalam? Si hawa ndio walituahidi upigaji kura ya maoni April 30 kwamba uandikishaji ungekuwa umekamilika? Sasa ni katikati ya May, wanamwandikisha nani?
 
Tume imekataa kuwaandikisha wapiga kura million mbina na laki nne na ushee sawa na mikoa mitano Njmbe,Katavi, Lindi Iringa
 
Kwa mujibu wa tume,inaonekana kuna uchakachuaji wa idadi ya wapiga kura
 
Tume haijapatiwa fedha za kuandaa uchaguzi.ajabu kuna magari ya kuwashawasha yameagizwa kwa ajili ya kuwekeza ktk mapambano
 
mbowe nae ni mwizi, mbona hajapinga wabunge kulipwa posho, mafao makubwa
 
Back
Top Bottom