maguzu masese
JF-Expert Member
- Jan 22, 2013
- 283
- 139
Mawazo kaingia visiwani leo kwa ajili ya maandalizi ya uzinduzi wa kampeni tar l/6 anasema nchi hii ni kama ile nchi ya ya ahadi ya kwenye bible.Ni mzuri ajabu na isingekuwa uongozi mbaya..njaa NOO!