Kamanda Mawazo awaliza CCM Kwimba

Kamanda Mawazo awaliza CCM Kwimba

OMUSILANGA

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2012
Posts
384
Reaction score
228
Ndiyo wakuu , heshima kwenu! Katika harakati za vugu vugu la mabadiliko ( M4C ) linalo endelea katika sehemu mbalimbali za nchi yetu ,jana Kamanda amepata zawadi ya Father Krismas kwa CHADEMA baada ya kuwavua magamba wenyeviti watatu wa vitongoji na mwenezi CCM kata na kujiunga rasmi na jeshi la ukombozi (CHADEMA).

Operation hiyo inayo ongozwa na Kamanda Mawazo kanda ya Ziwa, jana pia imevuna mamia ya wanachama wakiwemo wenyeviti wa vitongoji katika kijiji cha Gulunwa ambapo Operation hiyo itakuwa ni ya wiki moja.
 
Makamanda goooooooooooooooooooooooooooo!!!!!!!!!!!! CCM lazima wakubali kuwa chama kikuu cha upinzani ifikapo 2015. Mafisaid wote wajiandae kurudisha mali za watanzania ee Mungu ibariki CDM ibariki Tanzania maana ukombozi uu njiani waja. Merry Christmas and a prosperous New Year 2013.
 
Safi sana kamanda................... Hii krismas imekuwa njema kwa chadema
 
Ndiyo wakuu , heshima kwenu ! Katika harakati za vugu vugu la mabadiliko ( M4C ) linalo endelea katika sehemu mbalimbali za nchi yetu ,jana Kamanda amepata zawadi ya Father Krismas kwa CDM baada ya kuwavua magamba wenyeviti watatu wa vitongoji na mwenezi CCM kata na kujiunga rasmi na jeshi la ukombozi (CDM ). Operation hiyo inayo ongozwa na Kamanda Mawazo kanda ya Ziwa, jana pia imevuna mamia ya wanachama wakiwemo wenyeviti wa vitongoji katika kijiji cha Gulunwa ambapo Operation hiyo itakuwa ni ya wiki moja.

Niceeeeewwew
 
Kazi njema Kamanda, kweli nimeamini anayetoka CCM kwenda CHADEMA lazima awe Jembe lakini Masalia yanayojiondoa CHADEMA kwenda CCM uozo mtupu hatusikii chochote zaidi ya Porojo tu kama LUKOSI.
 
Kamanda chapa kazi, maana kuna watu wanataka kuwa marais la kwenda kewnye M4C hawataki washinda kwenye mitandao.
 
mara ooh! CHADEMA kuna mgogoro hata maana ya migogoro watu hawajui
sasa watavuna aibu kuu maana haya ni maandalizi ya 2014 kisha 2015

Viva Chadema, Viva Mawazo twende kazi
 
kamanda mawazo nnakukubali sana mkuu...ww ni jembe na ninakufaham toka ukiwa kitaa na mpaka leo hii tunasoma class moja...ninakukubali zaidi ata kwenye maswala ya academic ww n mkali sana kamanda nakutakia heri ya xmas n glory day... m4c live forever./
 
wenyewe wanakomaa na kadi ya Dr. Slaa wanachama wao wanawakimbia. Raha kama nini.
 
Back
Top Bottom