Kamanda Mawazo awaliza CCM Kwimba

Kamanda Mawazo awaliza CCM Kwimba

Huyu jamaa anaipenda kazi yake kweli, hana hata mapumziko ya Krismas, Kudos Mawazo!
 
Ndiyo wakuu , heshima kwenu! Katika harakati za vugu vugu la mabadiliko ( M4C ) linalo endelea katika sehemu mbalimbali za nchi yetu ,jana Kamanda amepata zawadi ya Father Krismas kwa CHADEMA baada ya kuwavua magamba wenyeviti watatu wa vitongoji na mwenezi CCM kata na kujiunga rasmi na jeshi la ukombozi (CHADEMA).

Operation hiyo inayo ongozwa na Kamanda Mawazo kanda ya Ziwa, jana pia imevuna mamia ya wanachama wakiwemo wenyeviti wa vitongoji katika kijiji cha Gulunwa ambapo Operation hiyo itakuwa ni ya wiki moja.
paka sasa hivi hakuna hata kimoja kilichofika Tanzania, habari kutoka Uingereza zinasema kuwa ilikuwa ni usanii wa Lema hakuna chochote.

600.jpg

26_27_ambulance_cutaway.jpg


lema-chopper.jpg
 
Back
Top Bottom