Kamanda Mawazo atoa wito kwa WanaCHADEMA wote

Kamanda Mawazo atoa wito kwa WanaCHADEMA wote

we should suport him

Yes Mkuu, huyu mtu tangu nimeanza kumsikia akihamasisha watu na kupelekea ushindi kwenye chaguzi kadhaa za udiwani, wenyevit wa vitongoji na mitaa katika maeneo mbali mbali, siyo leo, amefanya kazi sana. Na haonekani kupumzika, najua CHADEMA makao makuu wanafanya kitu juu yake, lakini na sisi lazima TUCHANGIE MABADILIKO HAYA. Haiwezekani tuwe washabiki tu wa maneno kama "MAWAZO GO...GO KAMANDA, M4C WITH NO APOLOGY, VIVA CHADEMA" na mengine mengi, TUMUWEZESHE HUYU MTU KWA RASILIMALI FEDHA. NAPENDEKEZA MWENYE NAMBA YAKE YA VODA AIWEKE HEWANI ILI TUANZE KUMCHANGIA, I WILL BE THE FIRST PERSON KUTOA KDOGO NILICHONACHO. Wote tukitoa kidogo kidogo, jumla yake itakuwa kubwa jamani, si tulijifunza zamani zile kuwa HABA NA HABA HUJAZA KIBABA?
 
Ninayo namba ya kamanda Mawazo ila kwa sasa nadhani anaendelea na mikutano kuwaelimisha wadanganyika! Usiku nitamtafuta kumomba ruhusa ya kuiweka hapa. Huyu jamaa tangu mwezi wa 12 mwaka jana najitahidi kukutana naye inashindikana, Kila nikienda Mwanza anasema yuko poli.

Big up kamanda, tuwekee muombe kamanda MAWAZO, akuruhusu uiweke namba yake hewani kupitia mtandao huu wa JF, ili vijana wenzake, ambao kwa namna moja au nyingine tumeshindwa kuwafikia wananchi huko vijijini, tumchangie kidogo tulichonacho ili kazi zake ziende vizuri. Tena umsisitize kuwa ni kwa nia njema na kwamba VIJANA TUMEGUSWA NA KAZI ANAYOIFANYA, KWA DHATI YA MIOYO YETU, TUMEAMUA KUCHANGIA TULICHONACHO ILI AENDELEE KUFANYA KAZI ZA UKOMBOZI.
 
Chadema dawa ya magamba ni kuibua makanda wengine wapya kama mawazo.wao tuwaachie matusi nahao masalia wao.
 
Please tuwekee hiyo number verified by mods-tutashukuru pia aki acknowledge kuipokea. We are proud of you Mawazo.

VERY GOOD, kumbe tuko wengi, tukiamua tunaweza, kama tumeshindwa sisi kwa namna moja au nyingine kuwafikia wananchi, TUWACHANGIE WALE AMBAO WAMEJITOLEA KUWAFIKISHIA UKOMBOZI WANANCHI. Naamini tunaweza!
 
Huyu jamaa ni hatarisana kwa wana ccm,ye huwa anadai kuwa anaishi kwa mkopo,kama ni kufa alishakufa kitambo sana wakija kumuua wanatimiza agano tu,big up kamanda Mawazo

Kuna mambo ya kuyafia lakini sio chama ! Alafu chama chenyewe CHADEMA hata siwaamini....
 
Kamanda MAWAZO tembelea mikoa ya pembezon km RUKWA hususan vjjn. Wavuja jasho wako tayar kwa mabadlko 2015. Plpz Power!!
 
Bigman huyu anatisha, nitoe mwito, kwa vijana wote, kama inawezekana, vijana wa CHADEMA TUSIISHIE kusema big up Mawazo, twende mbali zaidi kwa kumuwezesha huyu KAMANDA kiuchumi ili kazi zake ziweze kwenda vizuri. Me naona, kama iinawezekana, mawazo aweke namba yake hapa hewani, ili na sisi wenye vijisenti vichache tuwe tunamtumia kwa M - pesa ili awe anapata japo maji ya kukata kiu anapohutubia. Tusiishie kutoa pongezi nyuma ya keyboards za computer zetu, it does not help! Ni mawazo tu.

Nakuunga mkono kama ataweka hapa ana 200,000 yangu ataipata haraka sana
 
Tuweke namba please huyu jamaa kweli ni shujaa,amewasambaratisha magamba muleba na magu.Hatuna kitu lakini hatutakosa hata kumchangia maji ya kunywa.
 
Sasa waendeje vijana wasipowezeshwa,tatizo vijana wamepigika mbaya,labda uwepo utaratibu maalum wa kuwafua wanachama(hao vijana) kwa wiki tatu tatu kwenye makao makuu ya majimbo(au mikoa) kote nchini kisha wanaachiliwa kurudi kwenye maeneo ya kwao,hilo nadhania linaweza lisiwe mzigo kwao kwasababu area ya operation ni ya kwao.Gharama za maisha kwake hapo zitakuwa nafuu kwake na kwa chama pia.
 
Namba ya kamanda Mawazo si siri, mwenyewe (Mawazo) huitangaza kwenye mikutano ya hadhara nayo ni hii hapa 0756 039 703
 
mi nitaanza na hapa tabora manispaa kuelekea urambo
 
Back
Top Bottom