Fred Matuja
Member
- Jan 15, 2013
- 5
- 4
Si nilisikia kamanda Mboe kasema hapana kupokea raia kutoka ccm au?
Asante mkuu, tena huyu baba ni janga kwa CHADEMA na bora wamemgundua mapema!Amesema hawatapokea dakika za lala salama, yaani wale watakaokuwa wametemwa kwenye nafasi za kugombea kama Shibuda alivyojiunga!
Kutokana na juhudi
za Kamanda Mawazo Alphonce alieko Mkoani Kagera kwa ajili ya
M4C,
jana jioni familia ya Kagasheki
imehamia Chadema. Mdogo wa Waziri Hamis Kagasheki anaeitwa Mbubarak
Kagasheki pamoja na nduguye mwengine walimkabidhi kadi zao za CCM
kamanda Mawazokwenye uwanja wa Rwamishenyi.
Hotuba ya Mawazo iliwafanya watu
kutokwa na machozi ya uchungu dhidi ya mfumo uliopo.
Diwani wa moja ya kata za mjini
Bukoba alilia hadharani na kusema mara ya mwisho alilia machozi baada ya
kusikia hotuba ya Mtikila.
Kada mwingine toka CUF anaejulikana
kama Zainabu nae alirudisha kadi yake. Mpaka saa moja kasoro watu
waligoma kuondoka uwanjani.
Wananchi walimchangia Kamanda
Mawazo takribani sh. 200,000.
Leo hii, Mawazo na timu yake (Husna
na Hamis) wanahamishia ziara Karagwe kwa ziara ya siku
5.
Asante mkuu, tena huyu baba ni janga kwa CHADEMA na bora wamemgundua mapema!
Si nilisikia kamanda Mboe kasema hapana kupokea raia kutoka ccm au?
mwakyembe anajiandaa kuhamia airtel
waje mapema kabla hatujafunga kitabu cha wanaharakati kuelekea ukombozi 2015Km ni hivyo Sitta next
kamanda mawazo nakwamia kweli wewe ni kamanda wa kweli bila utani wapelekeshe hao magamba mpaka wote wahamie chademakutokana na juhudi za kamanda mawazo alphonce alieko mkoani kagera kwa ajili ya m4c, jana jioni familia ya kagasheki imehamia chadema. Mdogo wa waziri hamis kagasheki anaeitwa mbubarak kagasheki pamoja na nduguye mwengine walimkabidhi kadi zao za ccm kamanda mawazokwenye uwanja wa rwamishenye.
hotuba ya mawazo iliwafanya watu kutokwa na machozi ya uchungu dhidi ya mfumo uliopo. diwani wa moja ya kata za mjini bukoba alilia hadharani na kusema mara ya mwisho alilia machozi baada ya kusikia hotuba ya mtikila. kada mwingine toka cuf anaejulikana kama zainabu nae alirudisha kadi yake. Mpaka saa moja kasoro watu waligoma kuondoka uwanjani.
wananchi walimchangia kamanda mawazo takribani sh. 200,000. leo hii, mawazo na timu yake (husna na hamis) wanahamishia ziara karagwe kwa ziara ya siku 5.