Kamanda Mambosasa ampongeza Mange Kimambi, asema amerudi kundini

Hivi kumbe ukiitukana serikali na rais halafu baadaye akaanza kuiunga mkono na kumpongeza rais unageuka kuwa malaika?
 
Sasa huyu ndo mnamwita Dada wa taifa ?? Eti mwanaharakati ... kutukanana mitandaoni ndo uanaharakati au ??
 
Mange haja rudisha kadi ya CCM Kama ilivyo Kwa Lowassa!

Kama Lowassa, Mch. Msigwa, kina Prof J wote hawa wanampongeza Rais Na hata Juzi Sugu baada ya kusamehewa Na Rais nae kumpongeza Rais

Nadhan Mange amejikuta hataki kubaki Mpweke wa kutompongeza Rais

Ni Kama Msigwa baada ya kumpongeza Rais akaja kuzuga kutukana walio report Hilo tukio Na hicho ndicho anachofanya Mange Kimambi
 
Ila Mange kiboko, askari waliokuwa na vitambi hadi viliisha kwa gwaride na mazoezi ya kupambana na waandamaji. chezea Faru fausta weye.
 
Mwana kalitaka mwana kalipata! Hongera Kamanda kwa kupata ukichotaka.
 
SIJAONA POST AMBAYO MANGE ANAISIFIA SEREKALI AU SIRO ANA MANGE WAKE FAKE HUKO INSTAGRAM SABABU MANGE OG AMESEMA ANARUDI KWA KISHINDO ZAIDI AUGUST MOSI NA KWA SASA YUPO MAPUNZIKO ANAPOST TU PICHA ZAKE.
 
Hiii serikali inamfuatilia mange kuliko hata ambavyo inavyofuatilia uwajibikaji wa kutekeleza ahadi ya Sera ya viwanda...kamanda mzima nae anashinda ista kufuatilia " udaku""

halafu utaiskia misukule ya Lumumba ikisema kuwa mange hana impact yoyote katika Jamii"""
 
Back
Top Bottom