Kamanda Mambosasa ampongeza Mange Kimambi, asema amerudi kundini

Mambo mengine ya maingi yameisha?sasa hivi mange kawaweza kweli.. anawapost kina kenZo tu na tumatako twake.
Kila wakiingia wanakuta enZi za u turn ambazo hawaZijui zimerudi.

Watamkoma atawapostia hadi chupi kama walikuwa hawamjui da Mange
 
Polisi wamerushiwa ndoana na Mange wameshaimeza tayari,bila kujua hicho walichomezeshwa ni ndoana itakayowajeruhi itakapovutwa na Mange Kimambi.
 
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam, Lazaro Mambosasa amempongeza Mtanzania anayeishi Marekani, Mange Kimambi kwa maelezo kuwa ameipongeza Serikali.

Mambosasa ametoa kauli hiyo leo Ijumaa Mei 11,2018 katika mkutano wake na waandishi wa habari na kumpongeza Mange ambaye alikuwa Kinara wa kushawishi watu kuandamana Aprili 26, 2018 katika maadhimisho ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.

Kamanda huyo amesema Watanzania wanatakiwa kufikia mahali wachague watu wa kuwashabikia.

"Aprili 26 wananchi wa Kanda yangu walipuuza uhamasishaji wake katika mitandao ya kijamii, sasa Mange huyo huyo anaipongeza Serikali", amesema.

Amesema kwa kuwa ameipongeza Serikali nao wanampongeza kwa kuwa sasa amerudi kundini.

"Nampongeza kwa kuwa amerudi kundini alikuwa anapotosha na Watanzania walipopuuza na yeye ameamua kurudi na kuipongeza Serikali", amesema Mambosasa

Kuhusu watuhumiwa waliokamatwa wakihusishwa na maandamano ya Aprili 26, Mambosasa amesema walioshukiwa kufanya waliojiwa na kupata dhamana.

Chanzo: Mwananchi
Kumbe watanzania wanatakiwa wawe wanaipongeza serikali haha hahah haha hahah kumbe ukipongeza unapongezwa ukukosoa unapotezwa Hahaha Hahaha sasa wampe cheo basi
 
do! huyu mwamke hayuko sawa anahitaji huruma zaidi kuna kitu hakikosawa si kwa matusi haya
 
Moderators, please do the needful immediately kwenye post number moja ya uzi huu.
===
Mr Musiba was right to some extent!!
 
Back
Top Bottom