Kamanda Lucy Emmanuel katika harakati Mkoani Singida Jimbo La Mkalama

Kamanda Lucy Emmanuel katika harakati Mkoani Singida Jimbo La Mkalama

EMMA1

Member
Joined
Jan 4, 2015
Posts
39
Reaction score
11
kamanda mpambanaji Lucy emmanuel na mgombea ubunge viti maalum mkoa wa singida kupitia jimbo la Iramba leo ametembea maeneo mbalimbali ya jimbo la mkalama akiongozwa na mwenyeji wake Oscar Alex Kapalale na Mgombe umbunge kupitia chama cha demokrasia na maendeleo ( CHADEMA) JIMBO LA MKALAMA,

kamanda lucy Emmanuel ameweza kuongea na makundi kinamama pamoja na kufanya mkutano katika kata ya msingi kijijiji cha nshinsi ameweza kueleza wananchi kutoichagua ccm tena kutokana na kushindwa kuwaletea maendelea kwa miaka zaidi ya 50. pia amewaomba wachague viongozi wanaotakana na vyama vinavyounda ukawa kuanzia MADIWANI, MBUNGE NA RAIS kwa sababu sera yao ni kutoa elimu bure kuanzia chekechea hadi chuo kikuu, afya bora, mawasiliano ya uhakika, pia amewaelimisha kuwa kwa nini mambo hayo yatafanikiwa/kuwezekana ni kutokana na railimali iyiyopo tanzania ikitumika ipaswavyo na ukusanyaji wa kodi tu wananchi watafaidi rasilimali ya nchi yetu sote.
 

Attachments

  • IMG_20150912_140303.jpg
    IMG_20150912_140303.jpg
    357.3 KB · Views: 1,018
  • IMG-20150918-WA0081.jpg
    IMG-20150918-WA0081.jpg
    105.1 KB · Views: 814
  • IMG-20150918-WA0112.jpg
    IMG-20150918-WA0112.jpg
    124.1 KB · Views: 769
  • IMG-20150918-WA0091.jpg
    IMG-20150918-WA0091.jpg
    172.2 KB · Views: 783
Safi kamanda, piteni shuka kwa shuka mvungu kwa mvungu
 
Safi sana kwa kuwafikia wananchi walioko vijijini
 
Safi sana! changes will begin from her, you, me and them!!!curl your fingers into the palm, hold your fist up and shout out loud Peoplesssssssss!!!!
 
Back
Top Bottom