CHADEMA Iramba Kutikisa Old Kiomboi Leo kamanda Lucy Emmanuel

CHADEMA Iramba Kutikisa Old Kiomboi Leo kamanda Lucy Emmanuel

EMMA1

Member
Joined
Jan 4, 2015
Posts
39
Reaction score
11
katika kuhakikisha iramba inakombolewa toka kwa wakolom
ni mweusi pamoja na kutoka kwa mwigulu nchemba leo kamanda lucy Emmanuel na Mgombea Ubunge Viti maalum Mkoa wa singida kupitia jimbo la iramba atafanya uzinduzi wa kampein katika kata ya Old Kiomboi ambaye mgombea udiwani wake kupitia chadema ni Haji Said

Update za matukio katika picha zitawajia
 
fanyeni mabadiliko jamani achaneni na mambo ya kuvaa bendere shingoni.
watu wanataka viongozi wa kubadili fikra na uchumi wa nchi sio kikasiku ahadi zilezile alafu utekelezaji hakuna.
tunataka uboreshwaji wa huduma muhimu za kijamii na uchumi endelevu.
Asanteni wana Iramba.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom