Kamanda Lema ndani ya Arumeru


Maneno watupu hayavunji mfupa kama washazoea kuwachimba mkwara nyani huko porini kwao wanafikiri binadamu wanatishika kirahisi namna hiyo?
 
Safi sana kamanda Lema. Wazee wa magamba wapo wapi na mikwara yao ya kipumbavu? Haki itabaki kuitwa haki.
tatizo lenu nyie vijana huwa mnajibashiria matokeo mazuri yakiwa hovyo kura zimeibiwa !
Ths tym ccm watamkimbiza mwiz kimya kimya.
 
Ukuti ukuti ukuti wa naaani...Mr nice yupo wapi aweke kikolezeo cha hii topic....We need him
 

ushahidi wa picha tafadhali.
 
Pamoja Kamanda! Kampeni ni tar 9/03/2012

Ngoja kwanza huyo Kamanda aweke mambo sawa na hawa mafisadi kama ni kujinyonga wajinyonge tu!

Maana uchu wa madaraka safari hii itawaua hakika!

Wajue kbs hapa ni kanda ya kaskazini siyo kanda ya kusini!
kusini wapi kuwa specific mkuu au una maana Mbeya, Iringa kama unazumzia huko omba radhi
 
Kweli siasa ni dili, hata majambazi wanatukuzwa.
 
Kweli siasa ni dili, hata majambazi wanatukuzwa.

Mkuu vipi Nape kumpigia kampeni mkwe Wa Fisadi wakati alizunguka nchi nzima akimtaka ajivue gamba? Ha ha ha! Kweli siasa dili
 
Madingi wa Kishiri vipi hawaku mwona au?!!...Tendwa bwana...
 
Nipo Maji ya Chai kituo fulani cha Compassion ndo nasimamaia huku, sasa juzi kuna mmoja wa wana barza la wazee kanisan yeye ni Kada wa magamba haswaa!, mi nilikua sijamnyaka kua ni kamba, mi nkaamua kuanzisha sera za CDM ofisini, duh kumbe nilikua namgusa pabaya, keshoyake akawa ameenda kuchagua magamba wa kugombea jimbo, duh! cha ajabu baada ya kutoka huko akanifuata na kunambia kua, Isee ndg jimbo CDM mnalichukua bila kipngamizi chochte coz tuliyekuwa tuna mtaka sie apite siyo aliyepitishwa, wamechakachua. Wao wenyewe wanamalzana! kazi kwenu CDM sasa, Jimbo ni letu! Magamba wenyewe wamemalizana, hawelewani.Lets Be after our beloved Lema.
 
Huyo mzee atakuwa ni mzimu wa shehe yahya, au ulikua umesha lipuka nini?
 
Lema kapelekwa huko kutishia maisha ya wananchi, huko anajulikana kuwa ni Jambazi sugu.
 
lema anakubalika arumeru sana huyo alisema wazee hawataki kumuona yeye ndo anamatatizo,
 
Viva cmda, viva makamanda, ukombozi kwa wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…