Steven Wasira ni jitu lenye miraba minne, linalotisha kwa sura na katika medani za kisiasa. Ni jitu lenye uwezo mkubwa katika kujenga hoja za nguvu zenye kueleweka na zaidi ubongo wake una uwezo wa kupakia hadi GB 800,000.

SIO KWELI.... ni kikundi kidogo sana cha JF member wanaojaribu kwa kila namna sijui kwa kulipwa au bure kuondoa hata maana ya political party hieararchy and system to focus on one person. CDM has a system na kuna viongozi wanaofanya kazi usiku na mchana kuweka chama vyema, but a few lunatics tend to think every political step made is like watching simba na yanga game
this will ruin [or rather dent] progress towards democracy ya kweli, hasa kama democracy inakua linked na fanaticism and lunatic deeds!! (angalizo Lema sio lunatic bali ana followers walio lunatics).
Maybe ni kampeni za ndani ya chama
A few wouldnt understand, it is ok.... what matters is to deliver right message for those who want changes.... we have good case studies from arabian wave