Kamanda Lema ndani ya Arumeru

Kamanda Lema ndani ya Arumeru

Chilli

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2011
Posts
1,655
Reaction score
746
Wakuu muda si mrefu nimemuona mbunge wa Arusha mjini (CHADEMA) Godbless Lema maeneo ya Kikatiti. Alikua ndani ya gari na alisimama ili kusalimia watu ambao walianza kulizunguka gari lake kumsalimia baada ya kumtambua.
Hakukaa sana eneo hili kwani mara baada ya kusalimiana na raia alishika barabara ya kuelekea Maroroni.
Haya sasa wale wazeee wa kimeru waliosema watamfanya vibaya, Lema huyooo Arumeru!
 
Lazima Wshiri-CHADEMA watakua na tet-a-atet naye kwenye ikulu yao huko Arumeru kukanusha propaganda za Yohanne Tendwa kwa kuwajumuisha kimakosa wote katika madai ya jinai ambayo kwao wao ni mageni sana kwao.
 
Kamanda Lema lazima aikomboe Arumeru,mwisho wa Mafisadi CCM umetimia.
 
amepita maeneo tofauti tofauti tengeru usa mpaka kikatiti. baada ya Nchemba kuchafua hali hewa Lema amekuja kuweka mambo sawa.
 
Tendwa inasikitisha sana kwamba CHADEMA kumbe hukifahamu vizuri jinsi kilivyotukonga nyoyo kila kona ya nchi hii.

Pale Arumeru, kwa ukereketwa wako huo kwa CCM, safari hii huenda hata wewe ukarudisha kadi ya CCM nakuambia tena. Hata hapo ofisini kwako wanamagamba huenda mkawa mmebakia tu kama wawili watatu hivi tu.

Wengine wote ni Gwanda kwa kwenda mbele tayari kwa ukombozi wa taifa hili.


Kampeni zinanza lini mi nipo ful gwanda bendera na najitolea toyo, nipo mitaa ya kilombero apa
 
Kampeni zinanza lini mi nipo ful gwanda bendera na najitolea toyo, nipo mitaa ya kilombero apa

Pamoja Kamanda! Kampeni ni tar 9/03/2012

Ngoja kwanza huyo Kamanda aweke mambo sawa na hawa mafisadi kama ni kujinyonga wajinyonge tu!

Maana uchu wa madaraka safari hii itawaua hakika!

Wajue kbs hapa ni kanda ya kaskazini siyo kanda ya kusini!
 
Amani iwe na makamanda wote popote mlipo.
Viva chadema........viva 4rever
 
Safi sana kamanda Lema. Wazee wa magamba wapo wapi na mikwara yao ya kipumbavu? Haki itabaki kuitwa haki.
 
Cdm ndo kimebaki chama cha matumain hapa nchn na sivingnevyo! Na arumeru inaingia mikonon mwa cdm..!
 
katika list ya kampeni arumeru msimsahamu john heche, jamaa ni jembe, nilimuona jana tangamano - tanga na zito kabwe wakitoa matumaini kwa watanzania!
 
CDM nakupenda kwa moyo wangu wote, Hakika CCM kwaheri. Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki CDM na Mungu nibariki mimi ili nifike 2015
 
Da natamani daftari la wapiga kura wangeriboresha kwenye uchaguzi hu ccm ingepata 10"/.
 
Back
Top Bottom