Nanyaro Ephata
JF-Expert Member
- Jan 22, 2011
- 1,239
- 1,831
Tungekuwa na viongozi aina ya Lema watano tu ndani ya serikali naamini tungekuwa tumeshakomesha rushwa, ufisadi na viongozi kunung'unika badala ya kuchukua hatua. Bravo kamanda lazima tutashinda.
Leo Mwenyekiti wa Taifa wa CHADEMA kamanda Mbowe,akiambatana na viongozi wa mkoa na wilaya alimemtembelea Lema selo,na kuafikiana kutoka jumatatu,baada ya kutoka tutafanya mkutano mkubwa sana viwanja vya NMC,ili kuwaeleza wananchi sakata zima la kugomea dhamana
Unafiki aliuanza baba yako nasikia baada ya kutemwa akawanyangaya mashine alizokuwa amewapa mwananchi...- Siasa bwana unafikiwa hali ya juu sana, I mean the dataz zinasema Chadema wanataka kumtosa Lema ndio maana kakatalia jela kujijenga na wananchi incase atagombea kwa chama kingine, na hapa tunaambiwa maneno tofauti na ukweli on the ground zero, duh! hizi siasa ndio maana taifa letu itachukua muda mrefu sana kuendelea maana huu unafiki umekithiri sana!
Willy @ NYC, USA. Le Mutuz Baharia!
- Siasa bwana unafikiwa hali ya juu sana, I mean the dataz zinasema Chadema wanataka kumtosa Lema ndio maana kakatalia jela kujijenga na wananchi incase atagombea kwa chama kingine, na hapa tunaambiwa maneno tofauti na ukweli on the ground zero, duh! hizi siasa ndio maana taifa letu itachukua muda mrefu sana kuendelea maana huu unafiki umekithiri sana!
Willy @ NYC, USA. Le Mutuz Baharia!
Unafiki aliuanza baba yako nasikia baada ya kutemwa akawanyangaya mashine alizokuwa amewapa mwananchi...
- Siasa bwana unafikiwa hali ya juu sana, I mean the dataz zinasema Chadema wanataka kumtosa Lema ndio maana kakatalia jela kujijenga na wananchi incase atagombea kwa chama kingine, na hapa tunaambiwa maneno tofauti na ukweli on the ground zero, duh! hizi siasa ndio maana taifa letu itachukua muda mrefu sana kuendelea maana huu unafiki umekithiri sana!
Willy @ NYC, USA. Le Mutuz Baharia!
Tatizo mkuu unapewa hizo Data na Rafiki yako Nape.Niliona picha yenu hapa JF ulivyokuwa unampeleka Airport.
- Siasa bwana unafikiwa hali ya juu sana, I mean the dataz zinasema Chadema wanataka kumtosa Lema ndio maana kakatalia jela kujijenga na wananchi incase atagombea kwa chama kingine, na hapa tunaambiwa maneno tofauti na ukweli on the ground zero, duh! hizi siasa ndio maana taifa letu itachukua muda mrefu sana kuendelea maana huu unafiki umekithiri sana!
Willy @ NYC, USA. Le Mutuz Baharia!
chanzo chako ni Nape tu wewe.
Mkuu upo ? Umeamua sasa kufanya kweli ? Tiuwasiliane kule sirini kuna dataza za ku share .