Kamanda kupotea mpaka leo ni kweli?

Kamanda kupotea mpaka leo ni kweli?

HFOOO

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2018
Posts
683
Reaction score
652
Habarini za asubuhi wapendwa kaka na dada zangu wakubwa shikamoni ila kama upo chini 25 tulia.
Wanajamvi kuna taarifa nimezipata juu juu ila nikaone ngoja niulize na waswahili wanasema kuuliza si ujinga, Je! Kuna mtu anafahamu kamanda ocd wilaya ya singida mji ambae alipotea hadi sasa ni miaka kumi na hajawahi kuonekana hadi leo????
 
Hebu nikumbushe mkuu;
-Alikuwa anaitwa nani?
-Mazingira gani alipotea?
-Umri wake na mwaka aliopotea?
 
Hebu nikumbushe mkuu;
-Alikuwa anaitwa nani?
-Mazingira gani alipotea?
-Umri wake na mwaka aliopotea?
Ngoja mkuu nami ndio natafuta ubuyu kamili maana hizi nyepesi nimezipata kwa afisa mmoja hapo kituoni sasa nikashindwa kumhoji mengi sana kwa sababu kilichonipeleka pale haikuwa hicho ila baadae ndio kadumbukiza mada hiyo mke wa huyo kamanda aliepotea nasikia ni mkaguzi wa shule za msingi
 
Vema.Jitahidi uje na habari kamili.
 
sitori utaipata ofisi za ukaguz kwa marafiki wa mzibiti uborae

ova
 
Back
Top Bottom