Hii makitu inaboa sana,ina onyesha ni jinsi gan ustaarabu ulivyotuacha nyuma,halaf watu wanalalamika maisha magum wakat michango ya kuweka vigodoro haikosekani,hii nchi bhana.
Tatizo la vigodoro nini?? Mbona kumbi za Music kibao zinasumbua kwa kelele hamsemi,waulize wanaoishi jirani na Mango garden na kumbi nyingine full makelele daily......Kigodoro Mara moja tu kelele kibaoooooooooooooo
Tatizo nchi yangu imekuwa ya MATAMKO zaidi ya UWAJIBIKAJI huwa viongozi wetu wanashindana kwa matamko baada ya kutamka na sisi raia TUNALALAMIKA inakuwa mchana inakuwa usiku inakuwa siku nyingine ndivyo nchi yangu tuanavyoishi