Kamanda Kova asilaumiwe!

Mmh, bora kuanzisha polisi binafsi na vituo vya polisi binafsi kama vipi, maanake michezo imezidi, polisi kazi wanaifanyia posho tu, sio kulinda nchi kikweli kweli
 

Kesi ya ngendere kumpelekea nyani?

Watamkamataje wakati wao (Pinda, JK) ndiyo waliomtuma? Jiulize huyo Abeid Afisa wa IKULU yuko wapi? uzuri Dr. Uli na Dr. Deo wanamfahamu vizuri.

LIWALO NA LIWE was a CODED message to TISS. Pinda maekuwa TISS wa IKULU kwa mda mrefu.

LIWALO NA LIWE was deliberate coded message to TISS to kill Dr. Ulimboka.

Sijui huyu Pinda ni Mkatoliki gani? inabidi tumtenge kama yule jamaa wa Sumbawanga aliye blaspherm ukatoliki.
 
Ina maana ile mbinu ya kuchukua wafungwa ilivyovuja imebidi wachukue mkenya,Inauma halafu ni aibu tupu,yaani hata uwe zoba vipi inaonekana tu wameipika iyo issue
 
Hongeara sana jeshi la polisi kwa kumaliza utata ingawa watu wachache wasiokuwa na uzalendo na mapendo mema na nchi yao huwa wabishi kila siku, hawa huwa hawaoni success siku zote wanafikiri kupinga kila jambo linalofanywa na serikali ama vyombo vya uslama hawajui usalama wao hutengea vyombo vya usalama wanavyovibeza kila siku.
 
Hongera sana jeshi la polisi kwa kumaliza utata ingawa watu wachache wasiokuwa na uzalendo na mapendo mema na nchi yao huwa wabishi kila siku, hawa huwa hawaoni success siku zote wanafikiri kupinga kila jambo linalofanywa na serikali ama vyombo vya uslama hawajui usalama wao hutengea vyombo vya usalama wanavyovibeza kila siku.
 
Napenda kujua maendeleo ya kamanda kova kwa sasa, yuko wapi na anafanya nini? Na daktari ulimboka yuko wapi? Msaada wa taarifa hizi ili tuweke historia vema.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…