mwangalizi
JF-Expert Member
- Apr 24, 2012
- 842
- 513
Ndugu wanaJF, humu ndani kumejaa lawama na laana kwa kamanda wetu kipenzi, Kova. Najua uchungu uliopo mioyoni mwa watz wengi. Lakini tujiulize au tuvae viatu vya kamanda wetu;
Hakika majibu yetu sote ni HAPANA!
Kwa nini sasa?
ANA WAKATI MGUMU MAISHANI MWAKE KAMA KAMANDA!!! Tumtie moyo tu. Au mnadhani sikio linaweza kupita kichwa?

- Je mwenyewe alipenda alicho kitangaza?
- Hakujua mwitikio wa watz utakuwaje?
- Je yeye ni mjinga?

Sasa nyie mnaolielewa tukio zima lilikuwaje mbona hamjafungua ripoti popote pale hata kwa kutumia lile kundi la haki za binadamu?Hakuna lolote hapo mkuu, kova alijua na anajua anachokifanya... Msifikiri watanzania wote ni wajinga.
Hakuna lolote hapo mkuu, kova alijua na anajua anachokifanya... Msifikiri watanzania wote ni wajinga.
Kova angejiuzulu kama ni mwadilifu kuliko kutumiwa na Dhaifuz' government kukwepa lawama za umma tukio ambalo hajafanikiwa..
Tunahitaji ukweli na sio ubabaishaji kama huu unaoendelea. Serikali inatakiwa kuunda tume huru ili itupe ukweli na sio kutupa ripoti kupitia vyombo vyake dhalimu. Hatuna imani na ripoti za aina hii tena kwa sababu imani yetu ni kwamba serikali ndio inahusika na tukio hili la utekaji wa Dr. Ulimboka, na hii ripoti ya kamanda kova ni kiini macho kinachotumika ili kupotosha ukweli.Sasa nyie mnaolielewa tukio zima lilikuwaje mbona hamjafungua ripoti popote pale hata kwa kutumia lile kundi la haki za binadamu?