Nchi hii haiishi maajabu. Pesa ya kuwalipa vizuri waalimu na madaktari tunaowahitaji ni shida, lakini pesa ya kuongezewa mkataba polisi kama kova ambaye hata elimu yake hailingani na cheo alichonacho kwa dunia ya leo inapatikana.Alitakiwa kustafu Oktoba mwaka jana, tukaambiwa ameongezewa mwaka mmoja na Mkulu aliyepita kwamba watastafu wote.
Sasa tunauliza ni lini kamanda wetu huyu atastafu, maana amekuwa na utumishi uliotukuka ndani ya jeshi letu la polisi, mwaka alioongezewa ushatimia.
Wenye kujua karibuni mtujuze
Apishe wengine. Hajafunga ndoa na jeshi la polisi kwamba atatenganishwa nalo na kifo.Astaafu ili iweje labda?
ASTAFU ILI WAPUMBAVU WAANDAMANE? hakuna hilo itabidi aongezewe miaka 2 tena
Ni kweli yaani hata nami baba mdogo kastaafu na cheo ACP alikuwa OC FFU ila kwa ana hali ngumu,hadi namhurumia.
Mkuu nenda taratibu,Tambua kuwa si kila anayeandamana ni mwendawazimu,wanayo yao moyoni ambayo waliotakiwa kuwasikiliza hawakuwasikiliza ndipo wakaamua kuandamana;Ndio maana hata sheria za nchi hazikuweka zuio la Watu kuandamana ili kudai haki zao,Mkuu kwa kuwa bado unaishi usije ukamwita binadamu mwenzako anayedai haki zake Mpumbavu,Life is Dynamic,Leo kwangu Kesho kwako,Najua uko upande gani lkn huko uliko ni wataalamu wa kuwa-damp watu wao bila kujali michango yao,waangalie akina Warioba kidogo wale makonde sembuse wewe!!!,jiangalie.ASTAFU ILI WAPUMBAVU WAANDAMANE? hakuna hilo itabidi aongezewe miaka 2 tena
Kwa hiyo umeona umuanike Baba yako mdogo hapa???,kweli ubinadamu kazi,hapo ukute pesa zingine aliwahi kukunulia nguo au kukulipia Ada lkn leo unamwanika JF.Ni kweli yaani hata nami baba mdogo kastaafu na cheo ACP alikuwa OC FFU ila kwa ana hali ngumu,hadi namhurumia.
Astaafu ili iweje labda?
aisee....Mleta mada mbona hujatwambia wewe unastaafu lini kazini kwako
hahahaha....Mpaka ukawa ivunjike