donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
We acha tu eti wanampigia saluteNdo mkuu wao hao [emoji23][emoji23][emoji23]
safi lakini, anaamrisha mpaka makomandoo.
Baba yako Ni mzee mwenye busaraDah! Babu yangu aliniambia usishindane na wanawake
Dah! Babu yangu aliniambia usishindane na wanawake
unataka kuwa mume mwenza.daaah?? nkipata hela lazma nikamuoe jokate
Hahaha inabidi uwe na hela mingi mkuudaaah?? nkipata hela lazma nikamuoe jokate
Mkuu anataka kupotezwaunataka kuwa mume mwenza.
na nani tena?Mkuu anataka kupotezwa
Aaah, mkuu usitake nianze kusakwa na wasiojulikana aiseena nani tena?
kama ni hivyo basi we ni mchochezi.Aaah, mkuu usitake nianze kusakwa na wasiojulikana aisee
Umenikumbusha Mwalimu Mpande kule MoshitekinikoUsishindane na mwanamke huyo mwenzako ataolewa/
Ataongwa na nyumba atajengewa/
Vipi mwanaume mwenzangu nawe utatafuta bwana/
Wa kukuhonga na kukuchezea/
Nay wa Mitego - Sina Muda.
Kwani hata nikikimbilia kolomije bado watanisaka?Aaah, mkuu usitake nianze kusakwa na wasiojulikana aisee